Guardiola anaifanya Ligi ya Uingereza kuonekana nyepesi

Guardiola anaifanya Ligi ya Uingereza kuonekana nyepesi

Ngumbaru

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2018
Posts
495
Reaction score
677
Nikiangalia kikosi cha Pep Guardiola,pamoja na usajili alioufanya mpaka sasa,sioni timu tofauti na Man City ikibeba ubingwa wa EPL msimu ujao.
Inauma,lakini niseme tu ili timu tofauti na Man City ibebe ubingwa wa EPL basi tuombe Guardiola ahame haraka sana.

So far Kikosi cha kwanza cha City kwa msimu ujao kinaweza kuwa hivi
Golini: Ederson
Mabeki: Walker,Stones,Laporte,Zinchenko
Viungo: De Bruyne,Rodri,Bernardo
Washambuliaji: Sterling,Jesus,Mahrez

Bench lao: Mendy,Otamendi,Angelino,Foden,Sane,Aguero,Gundogan,Fernandinho,David Silva

Guardiola anatuharibia ligi yetu pendwa.
 
Mkuu jamaa ni mbaguzi sana

Sina jinsi ya kukueleza

Ngoja wakuu wengine wajaribu kukuelewesha
Alivyokuwa Barcelona alikuwa na Eric Abidal,huyu ni mweusi kama kambale. Hata Dani Alves sio mzungu.
Alivyokuwa Bayern Munich alikuwa na Alaba,huyu naye ni mweusi pia.
Man City kuna Mendy ambaye ni mweusi kama mkaa,hata Sterling ni mweusi pia.
Au ubaguzi wake ni kutokana na kukosana na Etoo na Toure?
 
Kila msimu abebe ubingwa yeye tu?
Sidhani kama hii ni raiti traki mkuu.
Hahaa!!!Ndio raiti traki yenyewe, kwani mjomba huku si anataka kuwa kama xin jinping

Ila ndio safi soka la uingereza lililegea kidogo, ukiitoa Liverpool labda na Tottenham kwa mbaaaliii kidogo ndio wana timu nzuri hata za kushindana katika ligi ya ulaya.
 
Back
Top Bottom