Unajua gadiola anaamini katika talent na sio professional ndomana wachezaji anao wapendelea ni Wale natural gifted na hao ni ngumu kuwapokonya mpira wanapo kuanao hasa viungo na mastraika muangalie messi,roben,libery,alcantara,sterling,mahrez, hao ni baadhi gadiola hawezi kuchukua mchezaji kama kina pogba,ozil,dembele etc sio kwamba wa baya hapana ila aina ya uchezaji gadiola anacheza mpira wa possession sasa ndomana anatumia watu wanao jua kuficha mipira na kwa mpira wa England atatunyanyasa sana na msimu ujao nafikiri atafanya kitu