Guardiola anaifanya Ligi ya Uingereza kuonekana nyepesi

Guardiola anaifanya Ligi ya Uingereza kuonekana nyepesi

Anabagua Wachezaji wa kutoka Afrika kusini mwa Jangwa la Sahara (Weusi), Mfano mzuri ni Yahya Toure na Etoo
Anawabagua Waafrika gani mkuu?
Waafrika ukimaanisha wachezaji weusi au wachezaji wenye uraia wa nchi za Afrika?
 
Anabagua Wachezaji wa kutoka Afrika kusini mwa Jangwa la Sahara (Weusi), Mfano mzuri ni Yahya Toure na Etoo
Eric Abidal ni mzungu?
David Alaba ni mzungu?
Fernandinho ni mzungu?
Sterling ni mzungu?
Mendy ni mzungu?
Kyle Walker ni mzungu?
Keita ni mzungu?
 
Tulikua tukikaririshwa kuwa EPL ni ligi yenye ushindani. Kumbe ushindani ulikua ukija kutokana na timu zote kuwa vilaza. Guardiola anarusha bakora kisawasawa.
 
Hili la ubaguzi wa Guardiola mnalielezea kwa minajil gan? Nasikia sikia tu mtaan Pep mbaguz lkn sielew.

Jaribu kunifumbua macho ndugu yangu maana umepata likes nying inaonesha weng wanakubaliana nawe

Mku hao ni Haters, na Haters sikuzote hawakosi hoja hata ikiwa hata akilini haingiii
 
Alipofika Man city , akamkataa Yaya, Dunia ya mpira ikamshangaa, Yaya alikuwa mzuri tatizo hana kasi.

Pep kafika City yaya tayari alishawekwa Bench na Pelegrini, yeye kaendeleza tu. Na kwanini mulazimishe lazima acheze yaya wakati uwezo mdogo? Hamuburudiki mukiwaona Silva na De Bruyne pale kati wanavyotawanya?
 
Back
Top Bottom