Mpira wa kisasa ni uwezo wa mchezaji kumiliki mpira pasipo kunyang'anywa kirahisi na adui, Ndio atoe pasi kwa mwenzie, tena huku akiwa anakimbia kwa kasi, adui akiingia kichwa kichwa anatengeneza faulo. Hapo Ndio utampenda Pep kwa faulo . Pep yuko radhi asajiri mbilikimo lakini ana uwezo na kipaji