Kila msimu abebe ubingwa yeye tu?Anawaharibia au anaipeleka kwenye raiti traki!
Jamaa sijui niggaz walimfanya niniAkiacha ubaguzi dhidi ya waafrika atakuwa kocha bora zaidi
Naongezea zegeAkiacha ubaguzi dhidi ya waafrika atakuwa kocha bora zaidi
Anawabagua Waafrika gani mkuu?Akiacha ubaguzi dhidi ya waafrika atakuwa kocha bora zaidi
Kwani Sterling na Mendy ni wazungu?Jamaa sijui niggaz walimfanya nini
Kweli mkuu.Ipo ivyo ila liver ajavunja team yake nae ana team nzuri sna
Mkuu jamaa ni mbaguzi sanaKwani Sterling na Mendy ni wazungu?
Alivyokuwa Barcelona alikuwa na Eric Abidal,huyu ni mweusi kama kambale. Hata Dani Alves sio mzungu.Mkuu jamaa ni mbaguzi sana
Sina jinsi ya kukueleza
Ngoja wakuu wengine wajaribu kukuelewesha
Ngozi nyeusi mkuuAnawabagua Waafrika gani mkuu?
Waafrika ukimaanisha wachezaji weusi au wachezaji wenye uraia wa nchi za Afrika?
Damu haziivi tu.Jamaa sijui niggaz walimfanya nini
Man City kuna wachezaji wawili weusi katika kikosi cha kwanza.Ngozi nyeusi mkuu
Au kaacha siku hizi ?
Ni lait traki mkuu maana hata Sir Alex alichukua 3 times in a row.. Sioni tatizoKila msimu abebe ubingwa yeye tu?
Sidhani kama hii ni raiti traki mkuu.
Hahaa!!!Ndio raiti traki yenyewe, kwani mjomba huku si anataka kuwa kama xin jinpingKila msimu abebe ubingwa yeye tu?
Sidhani kama hii ni raiti traki mkuu.
Ni kasumba tu ya wazungu wengi.Jamaa sijui niggaz walimfanya nini