Guardiola atamaliza nje ya Top 4

Kweli we zero, toka lini liver akawa na uhakika na top four?
 
Ushuhuda naona kama unataka kutimia kwa city
 
Ligi iliisha wewe bingwa alikuwa chelsea
Sisi tunaangalia maudhui ya alichokiandika...
Alikua na maana kwamba falsafa ya Pep G haiwezi kufanya kazi Ligi ya Uingereza...
Lakini kinachoendelea kutokea sasa kila mtu anakiona..!
Pia amesema Man City angemaliza nje ya top four,imekua hivyo..!?
 
Wewe huna mawazo kabisaaaaa
 
Sisi tunaangalia maudhui ya alichokiandika...
Alikua na maana kwamba falsafa ya Pep G haiwezi kufanya kazi Ligi ya Uingereza...
Lakini kinachoendelea kutokea sasa kila mtu anakiona..!
Pia amesema Man City angemaliza nje ya top four,imekua hivyo..!?
EPL mbona bdo!!..point 10 si nyingi kihivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…