Guardiola atamaliza nje ya Top 4

Guardiola atamaliza nje ya Top 4

Embu muache ushabiki. Timu bara na nzuri kwa sasa kwa pale epl ni Spurs na chelsea. Hizi zipo kamili kwa kila idara. Kwa maana ya beki, viungo na washambuliaji. United kitimu c nzuri kuwazidi arsenal, Liverpool na man city. So united kwenye top 4 hawezi kuingia. Arsenal hawana ubora wa Liverpool na man city. Hapa inabidi waachie nafasi yao ya 4 warudi nyuma hatua 1.
Top 4 itakuwa hivi
1. Chelsea/spurs
2. Spurs/chelsea
3. Liverpool
4. Man city
Arseno na man u poleni
Kweli we zero, toka lini liver akawa na uhakika na top four?
 
24862564_1572889929459981_2915243333408080167_n.jpg
 
Ligi iliisha wewe bingwa alikuwa chelsea
Sisi tunaangalia maudhui ya alichokiandika...
Alikua na maana kwamba falsafa ya Pep G haiwezi kufanya kazi Ligi ya Uingereza...
Lakini kinachoendelea kutokea sasa kila mtu anakiona..!
Pia amesema Man City angemaliza nje ya top four,imekua hivyo..!?
 
Kwa mwenendo wa ligi unavyoenda na nikilinganisha na uwezo wa Pep Guardiola katika kukinoa kwake Kikosi cha Man city nashawishika kabisa kuwa Mkufunzi huyu mahiri wa soka pasipo na shaka wala wasiwasi wowote atamaliza nje ya Top 4 hivyo kukosa nafasi ya kushiriki UEFA Champions League msimu ujao.

Kwanini nasema hivyo? Ni kwasababu Guardiola bado hajajua jinsi ya kukabiliana na soka la Kiingereza ambalo hutumia nguvu nyingi kuliko akili, kuna muda unahitaji point 3 muhimu hata kama timu haichezi mpira, yeye analazimisha timu icheze vizuri kisha ndio ishinde. Ligi ile si Ujerumani au Uhispania pale ni Uingereza ligi ya kibabe. Kwahiyo kama asipobadilika top 4 ataisikia kwenye bomba tu.

TOP 4 yangu mwisho wa msimu:
1.Chelsea
2.Liverpool
3.Spurs
4.Arsenal
Wewe huna mawazo kabisaaaaa
 
Sisi tunaangalia maudhui ya alichokiandika...
Alikua na maana kwamba falsafa ya Pep G haiwezi kufanya kazi Ligi ya Uingereza...
Lakini kinachoendelea kutokea sasa kila mtu anakiona..!
Pia amesema Man City angemaliza nje ya top four,imekua hivyo..!?
EPL mbona bdo!!..point 10 si nyingi kihivyo
 
Back
Top Bottom