Guardiola atamaliza nje ya Top 4


Du yaani hata man u haipo?
round ya kwanza ndo hiyo inakata. Table inasomeka hivi, wanaopewa nafasi ya kuchukua kombe ni hao kwenye red.
Top 4 kwa harakaharaka ni hao kwenye red.

Mpira sio fikra zako wewe kama wewe bali ni hatua wanazochukua hao waalimu wa mpira, kwenye mechi ya man city na man u, mou alikuwa na kalamu na daftari mkuu.

Jana kuna mtu alifungua uzi akasema jinsi Man city atakavyofungwa na Hotspur akaja na mawazo yake, leo ameufanyia editing. hakuwa na tofauti na wewe.
1. Kuhusu man city kutokuingia top 4 kwasababu anashinda kila mechi hata zisizo na maana anashinda, hapa unamaanisha kuwa atakuwa amechoka, kwani angeshindwa mechi ndo hatachoka?

2. nipe majibu ya kwanini hujaiweka man u kwenye top 4 yako?


 
Mkuu nimependa uchambuzi wako, tayari keshamtengeneza de bryne
 
Reactions: Lee

Watu mnajua uchambuzi wa mpira nyie? Dah. ulichochambua hapa kilikuwa kina mlenga nani? Pep?
 
بْلادي أُون لاين

الأربعاء 8 نوفمبر. خط التحرير · هيئة التحرير · اتصل بنا. الرئيسية · الشرق الآن · تـقـاريـر · أخبار سياسية · مجتمع · جهات · إقتصاد
 
Kwan shekhe Yahya Hussein alikuachia mikoba yoyote labda?????
 
Nikisema umekurupuka nitakuwa nakukosea mkuu? Huu uzi ni wa msimu uliopita wewe unaweka table ya msimu huu
 
Usiwe unakurupuka mkuu, soma tarehe ya uzi wangu
 
Usiwe unakurupuka mkuu, soma tarehe ya uzi wangu
Tarehe ya uzi ndo tusije kutoa marejesho? maana tarehe ya uzi inazungumzia vilevile kuwa hatafika top 4. Angekuwa hajafika top 4 tungekuta huu uzi unapongeza alichoandika mleta mada, sasa alifika top 4 na ndio tumekuja kumueleza kuwa alikosea kutabiri. Unaposema tunakurupuka tuangalie tarehe. HAYA BANA TUMEKURUPUKA KUMJIBU KUWA MANCITY AMEFIKA SALAMA TOP 4 NA UCL AMEENDA.

Top 4 yake hii hapa ( msimu uliopita ) je ipo sawa? na je isijadiliwe ?

1.Chelsea
2.Liverpool
3.Spurs
4.Arsenal
 
Wewe ndio umekurupuka. Hii thread ni ya siku nyingi. Hii ilikuwa ya ligi ya msimu uliopita. Ambayo mabingwa ni chelsea. Makamu bingwa ni Spurs wakifatiwa na City na Liverpool.

Hiyo table ulioweka hapo ni ya msimu huu, na kuna % nyingi vity watanyunyua kwapa
 

1. Nijibu swali la kwanza. Huo msimu aliosema kuwa CITY hatafika big 4 je imekuwa hivyo? maana ilikuwa ni msimu uliopita, Chelsea alikuwa bingwa na city alifika big 4.

Watu wa Chelsea mna shida sana kwenye kujibu, jibu kwa hoja na sio kuweka maneno ya vijiweni, unaposema kukurupuka hayo ni maneno ya vijiweni. hata kama nilikosea kujua tarehe ulipaswa kunielewesha From ABC , je mleta uzi alikuwa sahihi na utabiri wake? Mimi niliweka table zangu nilizokosea lakini niliweka ili kumjibu sasa wewe ungekuja na maelezo na sio ku crash,
anyway topic closed. You've won I've won, it doesn't matter.
 
Easy easy mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…