Guardiola atamaliza nje ya Top 4

Guardiola atamaliza nje ya Top 4

Hivi man.city nani atawasimamisha unadhani Liverpool pekee ndio wamewashinda game moja,Ila game zilizobaki "undefeated"
 
Kwa mwenendo wa ligi unavyoenda na nikilinganisha na uwezo wa Pep Guardiola katika kukinoa kwake Kikosi cha Man city nashawishika kabisa kuwa Mkufunzi huyu mahiri wa soka pasipo na shaka wala wasiwasi wowote atamaliza nje ya Top 4 hivyo kukosa nafasi ya kushiriki UEFA Champions League msimu ujao.

Kwanini nasema hivyo? Ni kwasababu Guardiola bado hajajua jinsi ya kukabiliana na soka la Kiingereza ambalo hutumia nguvu nyingi kuliko akili, kuna muda unahitaji point 3 muhimu hata kama timu haichezi mpira, yeye analazimisha timu icheze vizuri kisha ndio ishinde. Ligi ile si Ujerumani au Uhispania pale ni Uingereza ligi ya kibabe. Kwahiyo kama asipobadilika top 4 ataisikia kwenye bomba tu.

TOP 4 yangu mwisho wa msimu:
1.Chelsea
2.Liverpool
3.Spurs
4.Arsenal

Ulipatia Liverpool peke yake!
 
Wewe ni bonge la Mabiri uchwara
 
nafikiri watu humu huwa wanakurupuka sana kujibu posti tuu..

mtoa mada alitoa mada hii msimu uliopita nashangaa watu mmenda kuufufua halafu mnaanza tu kutoa povu..

though hata msimu uliopita man city haikumaliza nje ya top four.
 
SHDA YA WATZ KUVAMIA FANI ZA WATU, KUCHAMBUA SOKA INABD UWE NA UFAHAMU WA KUTOSHA WA SOKA
 
Watu mnakurupuka sana huu uzi ni wa January 2017 msimu uliopita au hamjui kusoma tarehe.
Bingwa alikuwa chelsea
 
Bingwa chelsea na guardiola almalza nje ya top 4 [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom