Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kocha wa Man City, mwalimu Pep Guardiola amesema kuna wachezaji wanafanya timu ziweze kucheza vizuri lakini hawaimbwi sana kwakuwa hawapo kwenye takwimu nzuri za kuvutia yaani magoli au assist nyingi.
Hebu tuwataje wachezaji ambao Guardiola alijaribu kuwamaanisha! Mimi naanza na Joshua Kimmich wa FC Bayern Munich...endelea na wewe
Hebu tuwataje wachezaji ambao Guardiola alijaribu kuwamaanisha! Mimi naanza na Joshua Kimmich wa FC Bayern Munich...endelea na wewe