Mzuka Wanajamvi!
Baada ya kelele na malalamiko Pep Guardiola kocha wa timu ya mpira ya ligi kuu ya Uingereza Manchester City amewapa nafasi za kudumu na kuwachezesha waafrika wawili Ake na Manuel Akanji.
Wachezaji hao wanacheza katika safu ya ulinzi na wameweza kumudu vyema.
Kwa hilo kamashabiki wa Mancity tumefurahi na kuikaribisha kwa furaha.
Hii pia imetokana kwa kelele nyingi na malalamiko zikimuhusisha Pep kuwa mbaguzi hasa kwa wachezaji waafrika (weusi). Na labda kwa aibu kaamua kuwapa nafas za kudumu.
Ikumbukwe Samuel Etoo na Yahta Toure walishajitokeza wazi wazi na kumshutumu Pep kwa hii kasumba ya tabia yake.
Licha ya kuwachezesha Ake na Akanji bado hatujaridhi kakwasababu ni mchanganyiko mama zao wazungu. Tunataka waafrika kamili asilia mancity na Pep hana budi kufanya hivyo.
Tunataka Benjamin Mendy akishinda kesi yake ya kibaguz dhid ya ubakaji arudishwe mara moja kikosini.
Pia Coulibaly asajiliwe. Sadio Mane aletwe city na Romelo Lukaku. Na hili lifanyike haraka sana katika dirisha dogo la usajili mwezi wa kwanza 2023.
mkorea Tate Mkuu K11 General Nguli NetMaster mankachara mtabe kila sekta 2009 Greatest Of All Time