Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mjinga tu hujitambui[emoji23]Mzuka Wanajamvi!
Baada ya kelele na malalamiko Pep Guardiola kocha wa timu ya mpira ya ligi kuu ya Uingereza Manchester City amewapa nafasi za kudumu na kuwachezesha waafrika wawili Ake na Manuel Akanji.
Wachezaji hao wanacheza katika safu ya ulinzi na wameweza kumudu vyema.
Kwa hilo kamashabiki wa Mancity tumefurahi na kuikaribisha kwa furaha.
Hii pia imetokana kwa kelele nyingi na malalamiko zikimuhusisha Pep kuwa mbaguzi hasa kwa wachezaji waafrika (weusi). Na labda kwa aibu kaamua kuwapa nafas za kudumu.
Ikumbukwe Samuel Etoo na Yahta Toure walishajitokeza wazi wazi na kumshutumu Pep kwa hii kasumba ya tabia yake.
Licha ya kuwachezesha Ake na Akanji bado hatujaridhi kakwasababu ni mchanganyiko mama zao wazungu. Tunataka waafrika kamili asilia mancity na Pep hana budi kufanya hivyo.
Tunataka Mendy akishinda kesi yake ya kibaguz dhid ya ubakaji arudishwe mara moja kikosini.
Pia Coulibaly asajiliwe. Sadio Mane aletwe city na Romelo Lukaku. Na hili lifanyike haraka sana katika dirisha dogo la usajili mwezi wa kwanza 2023.
mkorea Tate Mkuu K11 General Nguli NetMaster mankachara mtabe kila sekta 2009 Greatest Of All Time
Nini etoo,nan yayaHilo jamaa lako ni libaguzi sana kwa wachezaji wenye ngozi nyeusi. Sijui ni kwa nini Juma Mgunda anakubali kuitwa jina la Guardiola Mnene!
YaYa Toure na Samwel Etoo hawana hamu naye huyu jamaa.
Unataka? umechangia shilingi ngapi katika usajili? ngoja😀Mzuka Wanajamvi!
Baada ya kelele na malalamiko Pep Guardiola kocha wa timu ya mpira ya ligi kuu ya Uingereza Manchester City amewapa nafasi za kudumu na kuwachezesha waafrika wawili Ake na Manuel Akanji.
Wachezaji hao wanacheza katika safu ya ulinzi na wameweza kumudu vyema.
Kwa hilo kamashabiki wa Mancity tumefurahi na kuikaribisha kwa furaha.
Hii pia imetokana kwa kelele nyingi na malalamiko zikimuhusisha Pep kuwa mbaguzi hasa kwa wachezaji waafrika (weusi). Na labda kwa aibu kaamua kuwapa nafas za kudumu.
Ikumbukwe Samuel Etoo na Yahta Toure walishajitokeza wazi wazi na kumshutumu Pep kwa hii kasumba ya tabia yake.
Licha ya kuwachezesha Ake na Akanji bado hatujaridhi kakwasababu ni mchanganyiko mama zao wazungu. Tunataka waafrika kamili asilia mancity na Pep hana budi kufanya hivyo.
Tunataka Mendy akishinda kesi yake ya kibaguz dhid ya ubakaji arudishwe mara moja kikosini.
Pia Coulibaly asajiliwe. Sadio Mane aletwe city na Romelo Lukaku. Na hili lifanyike haraka sana katika dirisha dogo la usajili mwezi wa kwanza 2023.
mkorea Tate Mkuu K11 General Nguli NetMaster mankachara mtabe kila sekta 2009 Greatest Of All Time
Mkuu usikurupukesoma vizuri. Neno muafrika limesimamia mtu mweusi. Riyadh kazaliwa Africa lakini Siyo muafrika usituchefue banaKweli humu ndani hamjui mpira hata riyad mahrez hamumjui ni muafrika ?
Ndio lakini ni waafrika yote hayo najua japo mama zao ni wazungu. Rashford, vincius jr, Neymar, rudigger, lukaku, pogba, sancho, musiala, matip, sakaetc wote hao ni waafrika. Narudia tena Riyad mahrez siyo mwafrika japo katokea Africa.
Hata usemeje baguz tu. Kawafukuza , kompany, Ferdadinh, Jeesus na sterling baguz tuuNini etoo,nan yaya
Guardiola alimpiga bench SEYDOU KEITA na ametoka kumnunua kwa mil 32(ada kubwa ya usajil kwa kipnd kile kwa mchezaj kutoka africa) na akacheza mech 22 ndan ya miaka 3...huyu ndo PEP GUARDIOLA hayumbi kwa maneno ya kutia huruma

Una kichaa wewe!Ndio lakini ni waafrika yote hayo najua japo mama zao ni wazungu. Rashford, vincius jr, Neymar, rudigger, lukaku, pogba, sancho, musiala, matip, sakaetc wote hao ni waafrika. Narudia tena Riyad mahrez siyo mwafrika japo katokea Africa.
Wanalalamika kwenye magrupu yao ya whatsapp😁😀Mbona nyie timu zenu huku Afrika hakuna wazungu na hawalalamiki.
Inauma kweli asee. Haya amka acha kuning'iniza poumbou hapo sofani sebuleni kamfungulie geti shemeji Yako anapiga honi.Hii nchi ina watu wajinga Sanaa ,mpaka unawaonea huruma ,masikini ona Kama huyu mtoa mada aanavyoonesha ujinga wake hadharani,mpaka aibu ....ni masikitiko makubwa vijana kuwa vilaza namna hii ...mama Samia unakazi kubwa sana
Kwa hiyo kyle walker rahim staring nao ni waafricaAfrica imesimamia mtu mweusi
usitake kubadilisha maana ili muonekane mnaelewekaMkuu usikurupukesoma vizuri. Neno muafrika limesimamia mtu mweusi. Riyadh kazaliwa Africa lakini Siyo muafrika usituchefue bana
Utatoa sh ngap mkuu ili tuwasajiliMzuka Wanajamvi!
Baada ya kelele na malalamiko Pep Guardiola kocha wa timu ya mpira ya ligi kuu ya Uingereza Manchester City amewapa nafasi za kudumu na kuwachezesha waafrika wawili Ake na Manuel Akanji.
Wachezaji hao wanacheza katika safu ya ulinzi na wameweza kumudu vyema.
Kwa hilo kamashabiki wa Mancity tumefurahi na kuikaribisha kwa furaha.
Hii pia imetokana kwa kelele nyingi na malalamiko zikimuhusisha Pep kuwa mbaguzi hasa kwa wachezaji waafrika (weusi). Na labda kwa aibu kaamua kuwapa nafas za kudumu.
Ikumbukwe Samuel Etoo na Yahta Toure walishajitokeza wazi wazi na kumshutumu Pep kwa hii kasumba ya tabia yake.
Licha ya kuwachezesha Ake na Akanji bado hatujaridhi kakwasababu ni mchanganyiko mama zao wazungu. Tunataka waafrika kamili asilia mancity na Pep hana budi kufanya hivyo.
Tunataka Benjamin Mendy akishinda kesi yake ya kibaguz dhid ya ubakaji arudishwe mara moja kikosini.