jiwe gizani
JF-Expert Member
- May 25, 2021
- 380
- 507
- Thread starter
-
- #41
Sasa Guardiola si yupo Man city now [emoji3] na Jana wamelikosa kombeMkuu acha kuamini vitu vya kufikirika,
Hizo team nyingine namaanisha kama vile Arsenal na Man city,je nao wana laana ya nani kutokuchukua ucl?
Aisee! naona hutaki kuelewa kwa kuamini eti kuna miungu ya kiafrika!Sasa Guardiola si yupo Man city now [emoji3] na Jana wamelikosa kombe
Mkuu hapa anaezungumziwa Ni Guardiola yeye Kama yeye kuja kuimanage timu ibebe Champs League
Hili pia linawezekana pamoja na bad luckLaana haifanyi kazi hiyo anazidiwa mbinu za kimpira.
Mtu mwenye bad luck anafikaje fainali? Anachukuaje kombe la ligi? Jana ni Mbinu tu kazidiwa.Hili pia linawezekana pamoja na bad luck
Rahim S. Ni mweupe!!???Huyu jamaa sijawahi kumkubali kutokana na Sera yake ya kutowaamini wachezaji weusi. Ni muuaji was vipaji kwa wachezaji weusi. Huwa hawapi nafsi akiwakuta katika timu
Weka ushahidi hapaFerguson alisema hatosajili mchezaji wa africa, vp mlimpa laana gani
Mkuu kwahiyo unataka kusema Arsenal na city Wana sababu sawa za kutokuchukua UEFA?Aisee! naona hutaki kuelewa kwa kuamini eti kuna miungu ya kiafrika!
Mkuu Netherlands wamecheza fainal 10 za World Cup hawajachukua hata moja hiyo sio bad luck? Au walikua wanazidiwa mbinu kwenye kila mechiMtu mwenye bad luck anafikaje fainali? Anachukuaje kombe la ligi? Jana ni Mbinu tu kazidiwa.
Kama kuna bad luck jana haikuhusika. Alizidiwa mbinu.Mkuu Netherlands wamecheza fainal 10 za World Cup hawajachukua hata moja hiyo sio bad luck? Au walikua wanazidiwa mbinu kwenye kila mechi
Hapo kwa Guardiola ndo mana Kuna neno time will tell anachotakiwa kufanya Guardiola ni kutuprove wrong kwa kubeba ndoo ya UEFA CL
Sawa time will tell mkuuKama kuna bad luck jana haikuhusika. Alizidiwa mbinu.
Ya mbeleni hatuyajui..... ila jana kama uliuangalia mpira utakubaliana na mm kuwa ni kuzidiwa mbinu na si bad luck.Sawa time will tell mkuu
Kuna kocha aliyeifundisha Benefica aliilaani Benefica kuwa haitachukua kombe lolote la Ulaya kwa miaka 100.Laana iwepo kwenye Champion leaque tu?hakuna cha laana wala nn
Mkuu mbona Kama stats zinambeba cityYa mbeleni hatuyajui..... ila jana kama uliuangalia mpira utakubaliana na mm kuwa ni kuzidiwa mbinu na si bad luck.
Na hata wakamjengea sanamu ili awasamehe [emoji23][emoji23]Kuna kocha aliyeifundisha Benefica aliilaani Benefica kuwa haitachukua kombe lolote la Ulaya kwa miaka 100.
Hiyo ilikuwa ni baada ya kumnyima mkataba wenye maslahi mazuri baada ya kuiongoza timu hiyo kwa mafanikio kwenye mashindano ya Ulaya.
Mpaka sasa ni karibu miaka (50) hamsini timu hiyo haijaliona kombe la Ulaya. [emoji23]
Mara kadhaa mashabiki wa Benefica huenda kwenye kaburi la huyo kocha kumuomba msamaha.
Hebu ingia hapa ujibuAtajijua mwenyewe...
Mbinu boss. Chelsea walijua kujilinda na hawakuwa na tamaa ya kunyang'anya mpira ila pale walipoupata walishambulia kwa hatari sana. Kama umeangalia Ile mechi ilipaswa kuwa 2-0Mkuu mbona Kama stats zinambeba city