Guardiola na laana ya wachezaji wa Kiafrika

Guardiola na laana ya wachezaji wa Kiafrika

Mkuu acha kuamini vitu vya kufikirika,

Hizo team nyingine namaanisha kama vile Arsenal na Man city,je nao wana laana ya nani kutokuchukua ucl?
Sasa Guardiola si yupo Man city now [emoji3] na Jana wamelikosa kombe

Mkuu hapa anaezungumziwa Ni Guardiola yeye Kama yeye kuja kuimanage timu ibebe Champs League
 
Maamuzi yakocha yaheshimiwe timu ikifanya vibaya anayewajibika ni kocha je kina zlatan na ribery nao ni wazungu
 
Mtu mwenye bad luck anafikaje fainali? Anachukuaje kombe la ligi? Jana ni Mbinu tu kazidiwa.
Mkuu Netherlands wamecheza fainal 10 za World Cup hawajachukua hata moja hiyo sio bad luck? Au walikua wanazidiwa mbinu kwenye kila mechi
Hapo kwa Guardiola ndo mana Kuna neno time will tell anachotakiwa kufanya Guardiola ni kutuprove wrong kwa kubeba ndoo ya UEFA CL
 
Kama kuna bad luck jana haikuhusika. Alizidiwa mbinu.
 
Laana iwepo kwenye Champion leaque tu?hakuna cha laana wala nn
Kuna kocha aliyeifundisha Benefica aliilaani Benefica kuwa haitachukua kombe lolote la Ulaya kwa miaka 100.

Hiyo ilikuwa ni baada ya kumnyima mkataba wenye maslahi mazuri baada ya kuiongoza timu hiyo kwa mafanikio kwenye mashindano ya Ulaya.

Mpaka sasa ni karibu miaka (50) hamsini timu hiyo haijaliona kombe la Ulaya. 😂

Mara kadhaa mashabiki wa Benefica huenda kwenye kaburi la huyo kocha kumuomba msamaha.
 
Kuna kocha aliyeifundisha Benefica aliilaani Benefica kuwa haitachukua kombe lolote la Ulaya kwa miaka 100.

Hiyo ilikuwa ni baada ya kumnyima mkataba wenye maslahi mazuri baada ya kuiongoza timu hiyo kwa mafanikio kwenye mashindano ya Ulaya.

Mpaka sasa ni karibu miaka (50) hamsini timu hiyo haijaliona kombe la Ulaya. [emoji23]

Mara kadhaa mashabiki wa Benefica huenda kwenye kaburi la huyo kocha kumuomba msamaha.
Na hata wakamjengea sanamu ili awasamehe [emoji23][emoji23]
images%20(2).jpg
 
Atajijua mwenyewe...
Hebu ingia hapa ujibu
 
Back
Top Bottom