Guardiola: Tukifungwa na Atletico allianz arena, mniue

Guardiola: Tukifungwa na Atletico allianz arena, mniue

"pep Guardiola tells critics they can "kill him" if Bayern Munich fail to overhaul Atletico Madrid. Every one has killed me but i'm still alive" he said.
 
"we have one game left if i lose that you can kill me but i still have a chance"
hiyo ndio kauli yake aliimanisha nini chance ya kushinda au kupita maana ni kidhungu hiki...
Kushinda na si kupita mkui,
 
pep Guadiola tells critics they can "kill him" if Bayern Munich fail to overhaul Atletico Madrid. google acha kupotosha mkuu alichomaanisha
 
mkuu umeamua kubisha tuu aliulizwa kwa nini mechi ya kwanza Muller alianzia benchi ndio akaja na majibu mengi ya tactics mpaka kufikia huko kuwa hatujafail tutapita tuu sasa wewe unachokieleza kama hatujamsikia akihojiwa mkuu mpira unataka uwe mkweli mkuu..
 
ukiwa na uwezo wa kuwafunga barcelona, unakuwa na uwezo wa kumshinda Guadiola
 
Back
Top Bottom