Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diego Simeone anataka kufika fainali na kushinda taji tu,tusubiri Guardiola ashinde 2-1 halafu ajifariji kashinda wakati huo atl fainal.
Ndio amevuka hivyoBayern nahisi atashinda 2-1, ushindi ambao hautamtosha kwenda fainali. Kuwafunga Atletico magoli zaidi ya mawili ni shughuli pevu kweli kweli. Mpaka sasa wamecheza mechi 36 za la liga wameruhusu wavu wao kuguswa mara 16 tu.
Diego Simeone anataka kufika fainali na kushinda taji tu,tusubiri Guardiola ashinde 2-1 halafu ajifariji kashinda wakati huo atl fainal.
Hajafungwa kama alivyosema, so kafaulu,vp wamemuua...
Mkuu upo?Athletic lazima wakae allianz arena....
Hawapo. Na hizi posts zao ni kama wamezitelekeza!tukutane hapa baada ya mechi...
kwa hiyo munich wamepita? mkuuHajafungwa kama alivyosema, so kafaulu,
Hajafungwa kama alivyosema, so kafaulu,
Bavarian wamefuzu! Safi!Walidhani SIMIONE ni kama WENGER!
Hawajapita ila kawafunga 2:1 so suala hapa ni kuwafunga wakiwa kwao Bayern Munich ndo alimanisha,kwa hiyo munich wamepita? mkuu
Uefa ni mtoano mkuu ukielewa hilo utajua alimaanisha niniHawajapita ila kawafunga 2:1 so suala hapa ni kuwafunga wakiwa kwao Bayern Munich ndo alimanisha,
Alimanisha kuwafunga na si ku-qualify mkuu!Uefa ni mtoano mkuu ukielewa hilo utajua alimaanisha nini
"we have one game left if i lose that you can kill me but i still have a chance"Alimanisha kuwafunga na si ku-qualify mkuu!