Guardiola: Tukifungwa na Atletico allianz arena, mniue

Guardiola: Tukifungwa na Atletico allianz arena, mniue

Bayern nahisi atashinda 2-1, ushindi ambao hautamtosha kwenda fainali. Kuwafunga Atletico magoli zaidi ya mawili ni shughuli pevu kweli kweli. Mpaka sasa wamecheza mechi 36 za la liga wameruhusu wavu wao kuguswa mara 16 tu.
 
Ndio amevuka hivyo
 
subiri comment za hao waandishi maana ametolewa Uefa ni mtoano alimaanisha akitolewa na ndio maana muller waliepiga kelele kwa nini alikaa bench jana alianza kuna nini tena..
 
Alimanisha kuwafunga na si ku-qualify mkuu!
"we have one game left if i lose that you can kill me but i still have a chance"
hiyo ndio kauli yake aliimanisha nini chance ya kushinda au kupita maana ni kidhungu hiki...
 
Back
Top Bottom