Gudume & Beira baby boy Analysis

Gudume & Beira baby boy Analysis

kunge kuwa na tunzo jf za wapenda ngono hawa watu wanatakiwa kupewa
 
Ukweli Story Za Gudume Zina Utamu wake haswa Zile za Long pass na Short pass Wayeirrrrr
 
Hawa wahenga wanachuana kwa stori za mikasa isiyoisha ya mahusiano yenye maudhui yafuatayo:
1.Wao ni vidume na daima wanagongea wenzao na kujifanya kuomba ushauri wa kuwaonea huruma huku wakijitoa kwenye mzigo kwa kusema walitegwa.
2.Wao hawatumii hela kabisa hadi kunasa ndege ulimboni
3.Mademu wakiwasaliti hujuta na huwa si sababu wanakasoro za kimapenzi bali wamepata bwege anaye wahonga na kuwapa wao.
4.Wao kila siku wanademu ambaye wna mwaka naye kwenye mahusiano na kuna ka-legendary story
Mkuu kwenye hio list yako umemsahau
6.Deogratias N Kisandu
 
Gudume story zake hata kama ni za kufikirika au za kutunga lakini hazikuachi hivi hivi.Usipojifunza basi utafurahi au vyote kwa pamoja.

Ila huyo beira baby boy ni foolish age inamsumbua.A matured man hawezi kujiita baby boy.Yani thread zake zoote ni mavi matupu..hujifunzi wala hufurahi ...Kichwa andazi kabisa.
kichwa andazi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Gudume wengi hamufahamu. Jamaa yupo vizuri sana kichwani. Ana madini mengi sana sema akiwa chitchat na jukwaa lile lingine ndo anakuwa anazingua mwenyewe anasema kupumzisha akili.

Kama mnapita intelijensi na siasa au habari mchanganyiko huwa anashusha vitu vya ukweli sana huwezi hata amini ni yeye. Niligundua jamaa ana akili sana sema tu anapenda kujichetua.

Ila stories zake kule mapenzi na mahusiano sometime zina mafunzo flani sema mpaka uwe makini.pia ana staili yake ya kusimulia mi napenda sana kumsoma.huwezi mfananisha na beira boy huyu ni mtoto mdogo. Inawezekana wanakuwa na fix sometime lakini gudume huwa siwezi acha kumsoma
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Gudume popote ulipo heri ya mwaka mpya
 
Naunga replay mkono
 
Kwani wao wanasemaje kuhusu hili??But Gudume iz such a role model in story telling I real appreciate him in advance.
 
Back
Top Bottom