Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Hahaha mtemi nalimi kisanduHawa wawili wote ni waongo mbaya, bora usome story za Deogratius Nalimi Kisandu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha mtemi nalimi kisanduHawa wawili wote ni waongo mbaya, bora usome story za Deogratius Nalimi Kisandu.
Mkuu kwenye hio list yako umemsahauHawa wahenga wanachuana kwa stori za mikasa isiyoisha ya mahusiano yenye maudhui yafuatayo:
1.Wao ni vidume na daima wanagongea wenzao na kujifanya kuomba ushauri wa kuwaonea huruma huku wakijitoa kwenye mzigo kwa kusema walitegwa.
2.Wao hawatumii hela kabisa hadi kunasa ndege ulimboni
3.Mademu wakiwasaliti hujuta na huwa si sababu wanakasoro za kimapenzi bali wamepata bwege anaye wahonga na kuwapa wao.
4.Wao kila siku wanademu ambaye wna mwaka naye kwenye mahusiano na kuna ka-legendary story
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwani wameolewa?
Tatizo wengi walio huku chitchat na kule mmu majukwaa mengine kama ya politics na intelligence hawatii miguu ndio maana GuDume wanamchukulia poa kumbe mwenzao anawaenjoy tu.GuDume akiwa huku chitchat ndo anazingua ila ni kichwa hatari.Kule jamii intelligence kafanya kweli anashusha nondo za hatarii
kichwa andazi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Gudume story zake hata kama ni za kufikirika au za kutunga lakini hazikuachi hivi hivi.Usipojifunza basi utafurahi au vyote kwa pamoja.
Ila huyo beira baby boy ni foolish age inamsumbua.A matured man hawezi kujiita baby boy.Yani thread zake zoote ni mavi matupu..hujifunzi wala hufurahi ...Kichwa andazi kabisa.
Naunga replay mkonoGudume wengi hamufahamu. Jamaa yupo vizuri sana kichwani. Ana madini mengi sana sema akiwa chitchat na jukwaa lile lingine ndo anakuwa anazingua mwenyewe anasema kupumzisha akili.
Kama mnapita intelijensi na siasa au habari mchanganyiko huwa anashusha vitu vya ukweli sana huwezi hata amini ni yeye. Niligundua jamaa ana akili sana sema tu anapenda kujichetua.
Ila stories zake kule mapenzi na mahusiano sometime zina mafunzo flani sema mpaka uwe makini.pia ana staili yake ya kusimulia mi napenda sana kumsoma.huwezi mfananisha na beira boy huyu ni mtoto mdogo. Inawezekana wanakuwa na fix sometime lakini gudume huwa siwezi acha kumsoma
Nahisi wale ni mashoga