Gudume & Beira baby boy Analysis

kunge kuwa na tunzo jf za wapenda ngono hawa watu wanatakiwa kupewa
 
Ukweli Story Za Gudume Zina Utamu wake haswa Zile za Long pass na Short pass Wayeirrrrr
 
Mkuu kwenye hio list yako umemsahau
6.Deogratias N Kisandu
 
kichwa andazi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Gudume wengi hamufahamu. Jamaa yupo vizuri sana kichwani. Ana madini mengi sana sema akiwa chitchat na jukwaa lile lingine ndo anakuwa anazingua mwenyewe anasema kupumzisha akili.

Kama mnapita intelijensi na siasa au habari mchanganyiko huwa anashusha vitu vya ukweli sana huwezi hata amini ni yeye. Niligundua jamaa ana akili sana sema tu anapenda kujichetua.

Ila stories zake kule mapenzi na mahusiano sometime zina mafunzo flani sema mpaka uwe makini.pia ana staili yake ya kusimulia mi napenda sana kumsoma.huwezi mfananisha na beira boy huyu ni mtoto mdogo. Inawezekana wanakuwa na fix sometime lakini gudume huwa siwezi acha kumsoma
 
Reactions: Lee
Gudume popote ulipo heri ya mwaka mpya
 
Naunga replay mkono
 
Kwani wao wanasemaje kuhusu hili??But Gudume iz such a role model in story telling I real appreciate him in advance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…