Gudume kakutana na mbabe kanyweaa

huyo mwanamke mbona kamshikia gudume bastola kizembe hivyo! hapo si inapokonywa tu
 
ha ha ha... dada wa watu amechoka kupigishwa show za kibabe kila siku halafu haoni uelekeo wowote.

 
ukute hiyo bastola nmeshikiwa na Mama Sabrina... amechoka miaka inaenda anakamuliwa tu mpaka nanii inaanza kuchakaa halaf jamaa sioneshi kama nataka kuchukua jumla jumla wapenzi miaka 10????????????
Kwa hiyo mama sabrina unataka kusema GuDume amemsomesha mtoto wa watu shahada ya MD na mwaka mmoja wa Intern tena shahada ya Kairuki ya Ada kubwa???
 
ha ha ha.... we hujawahi ona mtu kila siku anapanda bajaji hiyo hiyo ila akija kutaka kununua usafiri ananunua gari ?????????
GuDume huwa mjanja mjanja sana, haiwezekani utie miaka yote unahaidi tuuuuu mwisho wa siku anaenda oa mdogo mtu!

Mfyuuuuu huo upuuzi hakunaga ngastuka tupu lanyiooooi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…