Gudume kakutana na mbabe kanyweaa

Gudume kakutana na mbabe kanyweaa

huyo mwanamke mbona kamshikia gudume bastola kizembe hivyo! hapo si inapokonywa tu
 
ha ha ha... dada wa watu amechoka kupigishwa show za kibabe kila siku halafu haoni uelekeo wowote.

GuDume kabananishwa leo kazoea kuwabadili badili mara mbunge ,mara wa ofisini mara sijui nani wa jf mpaka watu wanakuja kulia humu sasa leo kakutana na dawa ya moto,,
View attachment 640744 hii ndio hali aliyonayo mwanajf mwenzetu tumuombee yaan hapo kawa mdogo mdogo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kina Daby mjifunze na nyie yasijewakuta
Kuwakalisha wenzenu kwenye uchumba miaka 6 utafikiri mnasoma PHd haya sasa
 
ukute hiyo bastola nmeshikiwa na Mama Sabrina... amechoka miaka inaenda anakamuliwa tu mpaka nanii inaanza kuchakaa halaf jamaa sioneshi kama nataka kuchukua jumla jumla wapenzi miaka 10????????????
Kwa hiyo mama sabrina unataka kusema GuDume amemsomesha mtoto wa watu shahada ya MD na mwaka mmoja wa Intern tena shahada ya Kairuki ya Ada kubwa???
 
ha ha ha.... we hujawahi ona mtu kila siku anapanda bajaji hiyo hiyo ila akija kutaka kununua usafiri ananunua gari ?????????
GuDume huwa mjanja mjanja sana, haiwezekani utie miaka yote unahaidi tuuuuu mwisho wa siku anaenda oa mdogo mtu!

Mfyuuuuu huo upuuzi hakunaga ngastuka tupu lanyiooooi
 
Back
Top Bottom