Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
- #21
KivipiAringee [emoji2] [emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KivipiAringee [emoji2] [emoji2]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji2][emoji3]Ngoja miss akukute
Leo utaita majina yote ila Daby is shuga fo lediziiDaby kumbe we ni sukari ya warembo na umenyamaza kimya hujawahi hata kunistua,,kweli baba kralee
HahahahahaBastola ameishika kama uume!
duuh! wewe Anne wewee...Aringee [emoji2] [emoji2]
Nipe ubuyu hebuLeo utaita majina yote ila Daby is shuga fo ledizii
Akuuuuu!Nipe ubuyu hebu
Nipe nikusaidieAkuuuuu!
Abeee[emoji126] [emoji126] [emoji126]duuh! wewe Anne wewee...
ohoooAringee [emoji2] [emoji2]
Kaishika kimahaba kwelihuyo mwanamke mbona kamshikia gudume bastola kizembe hivyo! hapo si inapokonywa tu
GuDume kabananishwa leo kazoea kuwabadili badili mara mbunge ,mara wa ofisini mara sijui nani wa jf mpaka watu wanakuja kulia humu sasa leo kakutana na dawa ya moto,,
View attachment 640744 hii ndio hali aliyonayo mwanajf mwenzetu tumuombee yaan hapo kawa mdogo mdogo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kina Daby mjifunze na nyie yasijewakuta
Kuwakalisha wenzenu kwenye uchumba miaka 6 utafikiri mnasoma PHd haya sasa
Kwa hiyo mama sabrina unataka kusema GuDume amemsomesha mtoto wa watu shahada ya MD na mwaka mmoja wa Intern tena shahada ya Kairuki ya Ada kubwa???
Ngoja aje hapa uone atakavyokutolea uvivu
GuDume huwa mjanja mjanja sana, haiwezekani utie miaka yote unahaidi tuuuuu mwisho wa siku anaenda oa mdogo mtu!
Mfyuuuuu huo upuuzi hakunaga ngastuka tupu lanyiooooi