Guest gani morogoro ni nzuri

Mwanamke khanga moko, khanga ndembe ndembe! Shurti ukitoa kuoga ujivike khanga inatane na mwili! Tatulo ndani kwako tuuuu!

Hizo taulo ndo kabisaaaaaaaa! Sizigusagi!

I see nimeshha kata network wanitamanisha wallah
 
Twins lodge,ipo pale msamvu stand.
 
kha!!! vitaa vyote wavijua bana...au ndio waenda gegedwa huko?
 
kha!!! vitaa vyote wavijua bana...au ndio waenda gegedwa huko?

Hahahaaaaaaaaa! Enzi zangu nilikuwa mzee wa party people! Tulikuwa tunaliamsha Mji kasoro bahari na Watoto wa SUA na MZUMBE!!!!!!!!!! Ni ijumaaaa hadi Jpili! St. Patric tumesali sanaa!
 
Gwami mpya iko kihonda sio muhonda!
 
Muheshimiwa kama upo kwenye ndoa nafikiri sehemu nzuri ya kujipumzisha na mwenza wako, ni kwako unapo ishi. 15 au 20 unayotaka ukalipie izo sehemu. Nenda kalipe zaka nawe utabarikiwa.
 
Hahahaaaaaaaaa! Enzi zangu nilikuwa mzee wa party people! Tulikuwa tunaliamsha Mji kasoro bahari na Watoto wa SUA na MZUMBE!!!!!!!!!! Ni ijumaaaa hadi Jpili! St. Patric tumesali sanaa!

hahaha wacha zako usijirushe ze club na four stars ...huko ulipo taja weye sio kwa watotot wa sua na mzumbe ...huko unapeleka wake za watu hahah na viichana vya matawi ya juu...piga papuchi mpaka anakubali game lako.
 
Hahahaaaaaaaaa! Enzi zangu nilikuwa mzee wa party people! Tulikuwa tunaliamsha Mji kasoro bahari na Watoto wa SUA na MZUMBE!!!!!!!!!! Ni ijumaaaa hadi Jpili! St. Patric tumesali sanaa!

ndio maana movement ya dar moro ijumaa hadi jumapili inakuwa ya tabu kweli unakata ticket ya abood saa6 mchana unaondoka saa kumi. Kwasababu ya vyuo vikuu vingi moro watu wengi wanafata totoz na semina nyingi sana zinfanyika moro full kujiachia mwaya maana ukishakuwa na familia huwez tena fanya hayo. Menikumbusha mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…