Guest gani morogoro ni nzuri

Guest gani morogoro ni nzuri

hahaha wacha zako usijirushe ze club na four stars ...huko ulipo taja weye sio kwa watotot wa sua na mzumbe ...huko unapeleka wake za watu hahah na viichana vya matawi ya juu...piga papuchi mpaka anakubali game lako.

Hamnaaaaaaa! Ilikuwa enzi za undergraduate! Siku hizi tumekua! Majukumu mengi, nauli yenyewe mtihani! Boom tamu nyie acheni tu! Mi nilikuwa nawekewa 2!!!!!! Na sikusema hadi mwisho! Mdeni wangu sijui ngapi huko loans board!
 
Wadau nataka wikend ijayo nikacheze mechi kwenye uwanja mdogo wa kulipia (6 by 6),sasa sijui wapi kuna LODGE yenye gharama nafuu(kati ya 15000 hadi 20000)
kama unajua nielekeze tafadhali.reference iwe msamvu au stand ya mabasi morogoro mjini
ASANTE IN ADVANCE

Kiongozi usisumbuke Muulize Adam Kigoma Malima atakupa majibu fasaha
 
Hamnaaaaaaa! Ilikuwa enzi za undergraduate! Siku hizi tumekua! Majukumu mengi, nauli yenyewe mtihani! Boom tamu nyie acheni tu! Mi nilikuwa nawekewa 2!!!!!! Na sikusema hadi mwisho! Mdeni wangu sijui ngapi huko loans board!

Moro kutamu jamani ni zaidi ya Dar, vp Kahumba umewahi kula bata?
 
Moro kutamu jamani ni zaidi ya Dar, vp Kahumba umewahi kula bata?

Khaumba Night Park???? Nilisikia tu kuna bishara kama ile ya kwa Macheni Bar! Sijawahi! Kuna kisehemu kimoja cha Wachina sijui bado kipo? Misosi yao ilikuwa bomba sanaa!
 
Kumependeza Sana Morogoro Yaani Kama Dar Mji Wa Biashara
 
Back
Top Bottom