hahaha wacha zako usijirushe ze club na four stars ...huko ulipo taja weye sio kwa watotot wa sua na mzumbe ...huko unapeleka wake za watu hahah na viichana vya matawi ya juu...piga papuchi mpaka anakubali game lako.
ilikua twenty ila room nyingine zilikua below thathii ulilipa tsh ngapi mkuu
Wadau nataka wikend ijayo nikacheze mechi kwenye uwanja mdogo wa kulipia (6 by 6),sasa sijui wapi kuna LODGE yenye gharama nafuu(kati ya 15000 hadi 20000)
kama unajua nielekeze tafadhali.reference iwe msamvu au stand ya mabasi morogoro mjini
ASANTE IN ADVANCE
Hapa kumejaa mijizi.
Hamnaaaaaaa! Ilikuwa enzi za undergraduate! Siku hizi tumekua! Majukumu mengi, nauli yenyewe mtihani! Boom tamu nyie acheni tu! Mi nilikuwa nawekewa 2!!!!!! Na sikusema hadi mwisho! Mdeni wangu sijui ngapi huko loans board!
Moro kutamu jamani ni zaidi ya Dar, vp Kahumba umewahi kula bata?
Mkuu hapo niliwahi pata toto bikra kwa buku 3 tu sijui ilikuwa ya mchina
inaitwaKuna Moja ni Hotel sio Guest nililala juzi, ina jina gumu kidogo ila ipo Jirani na sehemu inaitwa Msikiti wa Mahita