Guest/hotel salama kwa wezi wa wake/waume za watu Dsm

Nipeni location kwa kigamboni ila iwe na good price and good services
 
BlueBird unaingilia round about ya Mlimani city unatambaa na service road Kama unaelekea 5N bar ukifika Hapo uliza yoyote unaonyeshwa
 
Imasco bado ipo?
 
Tusimulie ankoo[emoji1787][emoji1787]
Anko upo hadi huku [emoji1][emoji1]
Kiukweli ujana wangu nimeuanzia hapo, ilikuwa ni mwendo wa dakika 5 tu kufika hapo nikitoka home kwa kukatisha makaburini.
Tumekunywa sana bia za kupima siku za disco
 
Hujamaliziaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…