Guest/hotel salama kwa wezi wa wake/waume za watu Dsm

Guest/hotel salama kwa wezi wa wake/waume za watu Dsm

Hilo lingine sipo tayari kuliongelea kabisa japo ni kweli kipindi hicho. Hata anti yako anajua [emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] eeh basi... maana nilitaka kukutisha usiponisimulia nitaenda kukusemea kwa aunt
 
Mmmh Watu wabaya sana...mimi sina habari na wake za Watu ila hapo Kibadamo nimewahi pumzika na shemeji yenu ni patulivu sana na Wale wahudumu wastaarabu sana, mara zote naenda na mpenzi wangu na wanatuhudumia vizuri, wanashangaa jinsi ninavyompenda mpenzi wangu..naonaga kama wanatamani wangekua wao vile..ha ha!natania tuu...
NB ACHENI WIZI WA WAKE/WAUME ZA WATU MTAPIGWA RISASI.
Utakuta alishakuacha mamaeee.... dunia hii Hahahaa
 
Back
Top Bottom