Guest/hotel salama kwa wezi wa wake/waume za watu Dsm

Aaaargh... watu wengine banah..! Sasa tutakuwa tunajazana huko wakati ilikuwa siri kwa wachache tu.
c.c Asprin , Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Nendeni kanisani na misikitini, Uko mtakuwa salama
 
Kuna guest iko pande za tegeta ,dah ile ni nouma,ukiingia room tu unakuta picha za watoto wakal kibao,halaf unachagua,utakayempenda unaitiwa fasta,pesa yako tu,yaan full kujiachia,jina la guest silitaj mtajazan bure,maana ni secret service

Mkuu ni PM basi!
 
Sometimes shetani a nashangaa binaadamu wanavyofanya madhambi na ku plann madhambi kumshinda yeye. Mungu wasamehe waja wako hawa.

Binadam watu wa ajabu!anawaona wenzie wanaDhambi sana sababu zambi uzitendazo wewe ni tofauti na zao!!!!!!
 
kuna moja inaitwa baki njia kuu michepuko haifai!aah hii imetulia kishenzi halafu bei yake iko poa!
 
Mtoa mada una maslahi gani na sehemu ulizozitaja?
Hili chepuo halipaswi kutoka bure.
:majani7::majani7:Nikilala nawaza money,moneymoney:majani7::majani7:
 
Mkuu ulinusurika katika hizo anga nini na sasa unawabarisha wasafiri wenzio wapi lilipo chimbo
 
Mie ningependelea nipelekwe Hyatt na huyo mume wa mtu. Habari ya guest za vichochoroni natoka humo nawashwa aku babu
 
Hahahaha kuna moja ipo kule kinyerezi barabara mpya mkono wa kulia nikijaga dar huwa naendaga, sema kwenye vyumba vyao hamna network...

Ahahahah Darajan Hotel inaitwa ahahahaha!Chumba elfu 40 kwa kulala na elfu 20 kwa matumizi ya kawaida ya baadae uondoke!!
 
Kuna moja inaitwa Best Point iko Mandela Road kwa ndaani kuko poa sana kuna sehemu ya mpaka kuficha gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…