Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Mambo yote buguruni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo buza kwa lulenge......teh teh teh
LA promise hotel buguruni,hapo namtafuniaga mke wa jirani yangu
hebu ziongezee mkuu,,maana...!
Hahahaaaaa zipo za uhindini mjini kati kule lol ntarudi....
Je wewe una mpenzi wako ambaye ni mke au mume wa mtu hapa Dar es Salaam na unatafuta Guest/Hotel itakayokuwa salama kwa ajili ya kupumzika na mwenzio? Hapa nitataja kuanzia Hotel za bei ya juu kidogo mpaka Guest za Bei nafuu kwa hiyo angalia wapi wewe unaweza kumudu;
1. Q Bar& Guest House, Oysterbay
2. Atlantis Hotel,Oysterbay
3. Conway Hotel, Magomeni Kagera
4. Universal Inn, Sinza Mori
5. Wanyama Hotel, Sinza Mori
6. Atriums Hotel, Sinza Africa Sana
7. City Style, Sinza Mugabe
8.Kibadamo Hotel,Ubungo Stendi ya Mkoa
Uzuri wa hotel/guest house hiz ni kuwa hazina watu wengi so mtu unakuwa free kuingia na incase inatokea fumanizi wahudumu wakewapo friendly na hutoa ushirikiano wa kutosha kwa kutoroshea emrgeny door.
Mkuu kipi kimekuonesha nahudumu eneo hilo?Au wateja hawaruhusiwi kujua maeneo hayo?
Ukiwa unatembea huwa unafumba macho???zingine tunazisoma tu njian mkuu......!!!
Sio mpango wa nje bwana shem wako ni auditor so akiwa anasafir kikaz nami mara moja moja anaenda kuniAudit!!!
Je wewe una mpenzi wako ambaye ni mke au mume wa mtu hapa Dar es Salaam na unatafuta Guest/Hotel itakayokuwa salama kwa ajili ya kupumzika na mwenzio? Hapa nitataja kuanzia Hotel za bei ya juu kidogo mpaka Guest za Bei nafuu kwa hiyo angalia wapi wewe unaweza kumudu;
1. Q Bar& Guest House, Oysterbay
2. Atlantis Hotel,Oysterbay
3. Conway Hotel, Magomeni Kagera
4. Universal Inn, Sinza Mori
5. Wanyama Hotel, Sinza Mori
6. Atriums Hotel, Sinza Africa Sana
7. City Style, Sinza Mugabe
8.Kibadamo Hotel,Ubungo Stendi ya Mkoa
Uzuri wa hotel/guest house hiz ni kuwa hazina watu wengi so mtu unakuwa free kuingia na incase inatokea fumanizi wahudumu wakewapo friendly na hutoa ushirikiano wa kutosha kwa kutoroshea emrgeny door.
mbona hujaitaja MACHIMACHI GUEST HOUSE......maarufu sana hii hapo kinondoni makaburini
zote hizo ziko barabarani main road kasoro kibadamo waingia ndani kidogo hiyo ya sinza mori siijui.Mimi kama naiba mume wa mtu atanikoma ntakavyomficha lol
njoo uniibe mimi
hehehheheheh
Blue bird vipi?
Hahahaha kuna moja ipo kule kinyerezi barabara mpya mkono wa kulia nikijaga dar huwa naendaga, sema kwenye vyumba vyao hamna network...