Guest/hotel salama kwa wezi wa wake/waume za watu Dsm

Guest/hotel salama kwa wezi wa wake/waume za watu Dsm

ADDENDUM: NAMNANI HOTEL (Sinza), BLUE PEARL HOTEL (Ubungo), KEBBY'S HOTEL (Mwenge) na ile Karibu na kituo cha MAWASILIANO TOWER (SIMU2000)
 
Mbelikwe guest house
..ulizi wakutosha ushaidi watch Diamond Platnumz ft Khadija Kopa - Nasema Nawe
 
Je wewe una mpenzi wako ambaye ni mke au mume wa mtu hapa Dar es Salaam na unatafuta Guest/Hotel itakayokuwa salama kwa ajili ya kupumzika na mwenzio? Hapa nitataja kuanzia Hotel za bei ya juu kidogo mpaka Guest za Bei nafuu kwa hiyo angalia wapi wewe unaweza kumudu;

1. Q Bar& Guest House, Oysterbay
2. Atlantis Hotel,Oysterbay
3. Conway Hotel, Magomeni Kagera
4. Universal Inn, Sinza Mori
5. Wanyama Hotel, Sinza Mori
6. Atriums Hotel, Sinza Africa Sana
7. City Style, Sinza Mugabe
8.Kibadamo Hotel,Ubungo Stendi ya Mkoa
Uzuri wa hotel/guest house hiz ni kuwa hazina watu wengi so mtu unakuwa free kuingia na incase inatokea fumanizi wahudumu wakewapo friendly na hutoa ushirikiano wa kutosha kwa kutoroshea emrgeny door.
Ulikuwa unawaza nn, mpk kuandika?
 
iivii... Lengo lako n nn haswa!!
1.ku increase wa2 wafny sex
2.au upo kwny advertise y izo guest na bar
 
Kiboko ni Imasco Temeke mpaka gari inaingia ndani garage ukipaki unaibukia direct chumbani, mkitaka hamuonekani wote hata kwa mhudumu, pesa unapenyesha chini ya mlango, ukitaka kinywaji ndiyo mmoja wenu ataonekana kwa mhudumu mmoja tu.

Body without head
daah mkuu nielekeze hii
 
Direction unaenda na jkt road kutoka barabara ya kilwa mpaka shule ya msingi mgulani unakunja kona kushoto kuna mtaa huoo unaenda nao moja kwa moja mpaka mahala husikaa..kingine kuna milango miwili unaweza kuingilia mbele ukatoke nyuma kwenye uwanja wa ccm hata watu wasikukariri
daah hiyo safi sana
 
Ndiyo yenyewe, gari tinted mpaka ndani mlango unafungwa, unaibukia chumbani, kisha mhudumu anakusubiri ktk mlango wa corridor umpe HeLa kama ni vinywaji umuagize, hutaki kuonekana pitisha HeLa chini ya mlango, ukimaliza unarudi ktk gari, ukipiga start tu wanafungua gate unatoa gari na kuondoka zako bila kuonekana kwa yeyote.

Body without head
daah mkuu hii iko vizuri sana
 
Back
Top Bottom