Guest/hotel salama kwa wezi wa wake/waume za watu Dsm

Guest/hotel salama kwa wezi wa wake/waume za watu Dsm

Gesti ina vyumba vikubwa mnaweza cheza rede na mume wa mtu.
Bafu kama chumba cha kupanga Mabibo kota.
Ila ya kizamani sana.
Gari inapaki mlangoni kwako

Na kuna ile moja iko pale Malapa.
Gesti ina ngazi na makona kona kama unaenda akhera.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...nakupendaga buree

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom