Ata kesho ukikubali tu posa yangu ila mahali sina waambie wazee wanikopeshe nitawalipa
Kila mtu na Riziki yake, after all utakuwa umetanua kiwanda, kama vipi pika biriani kama yule wa tabata kinyerezi ili kuleta utofauti na mama ntilie.Na mama ntilie nao mkuu watapika nini ili nao wapate Riziki
Kwa huyu mtu hapana kwa kweli,
Labda kama unaweza kula chips na kukimbia bila ya kulipia kama anavyomfanyia Demiss.
Kwani @Sanchezi Magoli yupo wapi?
shemeji kwa wewe hapana kwa kweli maana wewe ukishamlisha viazi lazima uje umfungulie thread humu jukwaani.[emoji16][emoji16][emoji16] kwa nini mimi iwe hapana shemeji
Hahahaaaa jasiri hua haachi asili[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Akiwa mke nitamuheshimu ata nikitoka kukichakata kiazi chake
mtarajiwa wangu, pumzi yangu joanah nimefika tiyar endelea kunitunzia heshima yangu nipo nakutafutia wewe uku Mgugu shemu lao nashukuru kwa kujali endelea ivo ivo kuwa mlinzi mzuri, mdogo wako yupo sehemu salamaSanchez magoli yupo atakuja badae