Guest User huwa wanajiuliza sana huko waliko huyu ZERO IQ ni nani?

Guest User huwa wanajiuliza sana huko waliko huyu ZERO IQ ni nani?

Na mama ntilie nao mkuu watapika nini ili nao wapate Riziki
Kila mtu na Riziki yake, after all utakuwa umetanua kiwanda, kama vipi pika biriani kama yule wa tabata kinyerezi ili kuleta utofauti na mama ntilie.
 
Kwa huyu mtu hapana kwa kweli,
Labda kama unaweza kula chips na kukimbia bila ya kulipia kama anavyomfanyia Demiss.
Kwani @Sanchezi Magoli yupo wapi?
[emoji16][emoji16][emoji16] kwa nini mimi iwe hapana shemeji
 
Haya ila utatoa hata kidogo tu
Nyingine utamalizia badae ukipata
Niko na ya posa tu mahali nikopeshwe nitaleta baada ya kuanza kuitumia na kusibitisha ubora wa bidhaa yangu
 
Kila mtu na Riziki yake, after all utakuwa umetanua kiwanda, kama vipi pika biriani kama yule wa tabata kinyerezi ili kuleta utofauti na mama ntilie.
Wazo zuri mkuu ngoja niajiri demu mmoja mwenye msambwanda wake
 
shemeji kwa wewe hapana kwa kweli maana wewe ukishamlisha viazi lazima uje umfungulie thread humu jukwaani.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Akiwa mke nitamuheshimu ata nikitoka kukichakata kiazi chake
 
Back
Top Bottom