Huyu ndiye role model wako?Hua nakukubali sana mkuu
mi mwenyewe nikiwa mkubwa nataka niwe kama wewe.
SaaaanaHuyu ndiye role model wako?
Viazi vinaweza kuunganisha nguvu vimchakate yeye. Hakuna aliyeshindana na mlango wa viazi akabaki salamaSaaaana
Yaani hua anavutia sana na ujuzi wake wa kuchakata viazi vingi vingi tena kwa ustadi wa hali ya juu kabisa.
Mkuu unamkubali vipi huyu mharibifu mkubwa hafai kuigwa na jamii yoyote huyu, ingekuwa kipindi cha Musa alifaa apigwe mawe mpaka afe.Nakukubali sana Jombaaa!
Hahahaaaaa anachonifurahisha huyu jamaa nguvu zake nyingi na akili zake zote ameziwekeza kwenye kazi yake ya uchakataji viazi tena kwa ubunifu wa kipekee yaani hua simtofautishi sana na babu Asprin jinsi na yeye alivyowekeza kwenye kuzichakata K Vant.Via I vinaweza kuunganisha nguvu vimchakate yeye. Hakuna aliyedhindana na mlango wa via I akabaki salama