Guest User huwa wanajiuliza sana huko waliko huyu ZERO IQ ni nani?

Guest User huwa wanajiuliza sana huko waliko huyu ZERO IQ ni nani?

mtarajiwa wangu, pumzi yangu joanah nimefika tiyar endelea kunitunzia heshima yangu nipo nakutafutia wewe uku Mgugu shemu lao nashukuru kwa kujali endelea ivo ivo kuwa mlinzi mzuri, mdogo wako yupo sehemu salama

Dada alivyotajiwa kiepe tu udenda ushaanza kumtoka mpaka ameanza kuulizia mahari, yaani bila ya mimi kuingilia kati Zero IQ muda sio mrefu angemmiminia tomato.
 
Dada alivyotajiwa kiepe tu udenda ushaanza kumtoka mpaka ameanza kuulizia mahari, yaani bila ya mimi kuingilia kati Zero IQ muda sio mrefu angemmiminia tomato.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kiepe yai angetiki tu ningekichakata kiazi chake kama sina Akili nzuri
 
Saaaana
Yaani hua anavutia sana na ujuzi wake wa kuchakata viazi vingi vingi tena kwa ustadi wa hali ya juu kabisa.
Viazi vinaweza kuunganisha nguvu vimchakate yeye. Hakuna aliyeshindana na mlango wa viazi akabaki salama
 
Via I vinaweza kuunganisha nguvu vimchakate yeye. Hakuna aliyedhindana na mlango wa via I akabaki salama
Hahahaaaaa anachonifurahisha huyu jamaa nguvu zake nyingi na akili zake zote ameziwekeza kwenye kazi yake ya uchakataji viazi tena kwa ubunifu wa kipekee yaani hua simtofautishi sana na babu Asprin jinsi na yeye alivyowekeza kwenye kuzichakata K Vant.
 
Ni kijana flani hvi alie niomba nimkopeshe mtaji ili aweze kuanzisha kiwanda chake
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mtaji wangu niliupata kwa kuanza kuchoma mishikaki kijiweni
 
Mkuu unamkubali vipi huyu mharibifu mkubwa hafai kuigwa na jamii yoyote huyu, ingekuwa kipindi cha Musa alifaa apigwe mawe mpaka afe.
Kama nawe ni msafi chukua jiwe na unipige nalo mkuu
 
Back
Top Bottom