Jannatul Firdaus JF-Expert Member Joined Aug 4, 2026 Posts 446 Reaction score 1,113 Sep 1, 2026 #1 Kupatikana kwa kaburi la pamoja lenye miili sita iliyofungwa na kufunikwa macho kusini magharibi mwa Guinea kumezua hofu na maswali mengi. Mashirika 20 ya kiraia barani Afrika yanaitaka serikali kufanya uchunguzi huru na kuwahusisha wataalamu wa ndani na wa kimataifa. Tukio hilo linakuja wakati kukiwa na wasiwasi kuhusu zaidi ya watu 35 walioripotiwa kutoweka tangu mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 2021
Kupatikana kwa kaburi la pamoja lenye miili sita iliyofungwa na kufunikwa macho kusini magharibi mwa Guinea kumezua hofu na maswali mengi. Mashirika 20 ya kiraia barani Afrika yanaitaka serikali kufanya uchunguzi huru na kuwahusisha wataalamu wa ndani na wa kimataifa. Tukio hilo linakuja wakati kukiwa na wasiwasi kuhusu zaidi ya watu 35 walioripotiwa kutoweka tangu mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 2021
uttoh2002 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 19,925 Reaction score 38,702 Sep 1, 2026 #3 Mbona Malawi ni worse, Wa Africa wanafiki sana
A Afcon kinanuka JF-Expert Member Joined Apr 5, 2026 Posts 1,623 Reaction score 4,213 Sep 1, 2026 #4 Hadi ifike2030huyu mama atatumaliza