GUMZO la Magufuli Uchaguzi Wa Kenya

Ewaaaaa, lazima ujitofautishe na watoto mkuu wangu, utatukanwa bure halafu upige ntu na uishie lupango.
Arusha kwema?
Nampango wa kwenda mwezi ujao mkuu wangu...
 
Aliekuwa akilitaja jina la JPM sana katika kampeni za Kenya alikuwa Raila Odinga...Of course na unaweza ona kama jina hilo limemsaidia kushinda ama kushindwa.....
Lkn kuna aliye kwenda kumpigia kampeni uhuru kenyata je matokeo imeyaonaje?hiyo inaonyesha ni jinsi gani lowasa nyota yake ilivyo mpaka pwani jubileee wamechukua na hata kwa umasaini lowasa huku Kenya yatajwa mtu ya watu,achana na hiyo inayokwenda didimiza uchumi ya tanzania,uliona wapi rais inakuwa adui ya fanya biashara kama c puuzi hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…