Gusa achia twende kwao

Gusa achia twende kwao

Joined
Nov 27, 2024
Posts
43
Reaction score
127
Jamaa bana wana slogan inafurahisha sana, gusa achia twende kwao, hiyo ndio slogan ya Mjerumani.

Ukiangalia wanachokifanya uwanjani hamna lolote, hakuna gusa achia twende kwao

Ngojeni wakaliwe huko ugenini
 
Ila we jamaa akili zako daaaaa, hyo slogan sio ya mjerumani Kocha wa Yanga huo ni utani ambao unatumika kuwatania Yanga maana magoli did ya Tabora na magoli dhid ya All Hilal yanafanana Sana na yamefungwa kwa counter attack so kama ulielewa tofaut rekebisha haphapo kwanza.....
 
Alhilal ndo waliitawala slogan...
Ahaha wakagusa wakawaacha wamelamba nyasi wakaenda wavuni
 
BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALITUTAJIA MAADUI.

1. UMASIKINI
2.UJINGA.
3. MARADHI.

Akasema Hawa ni maadui wa kweli kweli katika hili Taifa.

LEO 2024 BAADA YA MIAKA 60 TUMEKUWA NA MAADUI WENGI ZAIDI.

2024 maadui wameongeseka Zaidi kuliko wale watatu wa 1961.

1.Umasikini na ufukara.
2.Ujinga na upumbavu.
3.Magonwa na Maradhi.

4.Mmomonyoko wa Maadili.
ushoga, usagaji Kamali, sugar mamy, sugar Dady mashangazi
AJIRA.
5. Rushwa na Upendelo

6. USimba na u yanga.
7. Mitandao ya kijamii Tiktok, x, nk
8. Manabii wa uongo na Mashehe Uchwara.
9. Ajali nyingi mno.
10. Gharama kubwa za maisha, ujenzi holela nk

MAMBO NI MENGI SANA VIJANA WA KITANZANIA WANAWAZA MAMBO YA HOVYO SANA SIMBA NA YANGA ZINATAWALA MIKEKA NK.

OKOENI TAIFA LENU LEO.
MKIFIKA MBINGUNI MTAHOJIWA NA MUNGU MLILIFANYIA NINI TAIFA LENU NIMEMALIZA.
 
Back
Top Bottom