Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Haya, tuma salamu kama vipi ili nafsi yako nayo ifarijike.Tutaona mengi kesho, gemu haina mashabiki na utopolo atakufa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya, tuma salamu kama vipi ili nafsi yako nayo ifarijike.Tutaona mengi kesho, gemu haina mashabiki na utopolo atakufa
Upumbavu kwasasa ni kipaji wabobezi wanahirisha kufikiri kwasababu ya kujipendekeza kwaajili ya masilahi binafsi, (matonge)BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALITUTAJIA MAADUI.
1. UMASIKINI
2.UJINGA.
3. MARADHI.
Akasema Hawa ni maadui wa kweli kweli katika hili Taifa.
LEO 2024 BAADA YA MIAKA 60 TUMEKUWA NA MAADUI WENGI ZAIDI.
2024 maadui wameongeseka Zaidi kuliko wale watatu wa 1961.
1.Umasikini na ufukara.
2.Ujinga na upumbavu.
3.Magonwa na Maradhi.
4.Mmomonyoko wa Maadili.
ushoga, usagaji Kamali, sugar mamy, sugar Dady mashangazi
AJIRA.
5. Rushwa na Upendelo
6. USimba na u yanga.
7. Mitandao ya kijamii Tiktok, x, nk
8. Manabii wa uongo na Mashehe Uchwara.
9. Ajali nyingi mno.
10. Gharama kubwa za maisha, ujenzi holela nk
MAMBO NI MENGI SANA VIJANA WA KITANZANIA WANAWAZA MAMBO YA HOVYO SANA SIMBA NA YANGA ZINATAWALA MIKEKA NK.
OKOENI TAIFA LENU LEO.
MKIFIKA MBINGUNI MTAHOJIWA NA MUNGU MLILIFANYIA NINI TAIFA LENU NIMEMALIZA.
Mkuu siku hizi nimeanza kukuelewa kuhus hoja ya msingi kabisaaa...BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALITUTAJIA MAADUI.