Dabi mtoto wa Morogoro wlikuwa pamoja na Kapombe Moro kids. Jamaa anajua nilimuonaga akiwa bado Moro kids walikuwa wanacheza katikati ya Dimba na mwenziye Kiteregu. Sijui dogo kiteregu kaishia wapi.Nakuunga mkono 102% .....
Japo kwangu Mimi namkubali Sana mwamba wa ruvu shooting "zuberi dabi" Hana mambo mengi sema basi Tu Ruvu ipo Hoi.
ni mvivu sana na hana malengo ya kufika mbaliTanzania tuna vijana wazuri wanaojua Mpira ila tu hatuwazingatii kwakuwa wanacheza timu za daraja la kati.
Kuna huyu dogo kiungo wa coastal union wa chini Saimoni Likomb ni anajua ball kweli kweli ila watanzania mpaka mtu acheze Simba na yanga ndio anazingatiwa na kuitwa timu ya taifa.
Huyu dogo alishapita Yanga B na kutumkia Gwambina na sasa coastal union.
Ni mchezaji haswa sema tu haimbwi kwakuwa watu wengi hawajui Mpira na wao wanaangalia mechi baadhi tu.
Sema tu dogo umbo lake linamponza kwa kuwa ana umbo dogo na ni mfupi.
Dogo ni baller.
Dogo ni ball dancer.
Wanaojua Mpira watakubaliana na mimi.
Katulia Sana Yule jamaa ....napenda Sana aina yake ya midfielder. Sio midfielder Una papara weee ....Dabi mtoto wa Morogoro wlikuwa pamoja na Kapombe Moro kids. Jamaa anajua nilimuonaga akiwa bado Moro kids walikuwa wanacheza katikati ya Dimba na mwenziye Kiteregu. Sijui dogo kiteregu kaishia wapi.
Anacheza kama kamaliza. Akaze kidogo kama Kelvin nashon anaweza fika mbali..ni mvivu sana na hana malengo ya kufika mbali
Ana kitu, atafika mbaliTanzania tuna vijana wazuri wanaojua Mpira ila tu hatuwazingatii kwakuwa wanacheza timu za daraja la kati.
Kuna huyu dogo kiungo wa coastal union wa chini Saimoni Likomb ni anajua ball kweli kweli ila watanzania mpaka mtu acheze Simba na yanga ndio anazingatiwa na kuitwa timu ya taifa.
Huyu dogo alishapita Yanga B na kutumkia Gwambina na sasa coastal union.
Ni mchezaji haswa sema tu haimbwi kwakuwa watu wengi hawajui Mpira na wao wanaangalia mechi baadhi tu.
Sema tu dogo umbo lake linamponza kwa kuwa ana umbo dogo na ni mfupi.
Dogo ni baller.
Dogo ni ball dancer.
Wanaojua Mpira watakubaliana na mimi.
Fact, Yule jamaa Yuko vizuri Sana..Tanzania tuna vijana wazuri wanaojua Mpira ila tu hatuwazingatii kwakuwa wanacheza timu za daraja la kati.
Kuna huyu dogo kiungo wa coastal union wa chini Saimoni Likomb ni anajua ball kweli kweli ila watanzania mpaka mtu acheze Simba na yanga ndio anazingatiwa na kuitwa timu ya taifa.
Huyu dogo alishapita Yanga B na kutumkia Gwambina na sasa coastal union.
Ni mchezaji haswa sema tu haimbwi kwakuwa watu wengi hawajui Mpira na wao wanaangalia mechi baadhi tu.
Sema tu dogo umbo lake linamponza kwa kuwa ana umbo dogo na ni mfupi.
Dogo ni baller.
Dogo ni ball dancer.
Wanaojua Mpira watakubaliana na mimi.
Kama alicheza na Kapombe, basi anaelekea ukingoniAna kitu, atafika mbali