je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,022
- 3,919
Tanzania tuna vijana wazuri wanaojua Mpira ila tu hatuwazingatii kwakuwa wanacheza timu za daraja la kati.
Kuna huyu dogo kiungo wa coastal union wa chini Saimoni Likomb ni anajua ball kweli kweli ila watanzania mpaka mtu acheze Simba na yanga ndio anazingatiwa na kuitwa timu ya taifa.
Huyu dogo alishapita Yanga B na kutumkia Gwambina na sasa coastal union.
Ni mchezaji haswa sema tu haimbwi kwakuwa watu wengi hawajui Mpira na wao wanaangalia mechi baadhi tu.
Sema tu dogo umbo lake linamponza kwa kuwa ana umbo dogo na ni mfupi.
Dogo ni baller.
Dogo ni ball dancer.
Wanaojua Mpira watakubaliana na mimi.