Gustafa Saimon Linkombi anajua sana mpira

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Tanzania tuna vijana wazuri wanaojua Mpira ila tu hatuwazingatii kwakuwa wanacheza timu za daraja la kati.

Kuna huyu dogo kiungo wa coastal union wa chini Saimoni Likomb ni anajua ball kweli kweli ila watanzania mpaka mtu acheze Simba na yanga ndio anazingatiwa na kuitwa timu ya taifa.

Huyu dogo alishapita Yanga B na kutumkia Gwambina na sasa coastal union.

Ni mchezaji haswa sema tu haimbwi kwakuwa watu wengi hawajui Mpira na wao wanaangalia mechi baadhi tu.

Sema tu dogo umbo lake linamponza kwa kuwa ana umbo dogo na ni mfupi.

Dogo ni baller.
Dogo ni ball dancer.
Wanaojua Mpira watakubaliana na mimi.
 
Uko sahihi. Dogo ana kipaji kikubwa.

Ushauri wangu kwake; ajifunze sasa kukimbia na mpira kuelekea golini, na pia kupiga pasi za mwisho za magoli. Maana staili yake ya mpira miaka nenda, ni ile ile ya kukaba tu na kupiga pasi za box to box.
 
February 2023

Gustapha Saimon Lunkombi amefunga goli kali Coastal Union ushindi wa bao 1-0 kwenye uwanja wa Mkwakwani, Tanga
 
Nakuunga mkono 102% .....
Japo kwangu Mimi namkubali Sana mwamba wa ruvu shooting "zuberi dabi" Hana mambo mengi sema basi Tu Ruvu ipo Hoi.
Dabi mtoto wa Morogoro wlikuwa pamoja na Kapombe Moro kids. Jamaa anajua nilimuonaga akiwa bado Moro kids walikuwa wanacheza katikati ya Dimba na mwenziye Kiteregu. Sijui dogo kiteregu kaishia wapi.
 
Tanzania tuna vijana wazuri wanaojua Mpira ila tu hatuwazingatii kwakuwa wanacheza timu za daraja la kati.

Kuna huyu dogo kiungo wa coastal union wa chini Saimoni Likomb ni anajua ball kweli kweli ila watanzania mpaka mtu acheze Simba na yanga ndio anazingatiwa na kuitwa timu ya taifa.

Huyu dogo alishapita Yanga B na kutumkia Gwambina na sasa coastal union.

Ni mchezaji haswa sema tu haimbwi kwakuwa watu wengi hawajui Mpira na wao wanaangalia mechi baadhi tu.

Sema tu dogo umbo lake linamponza kwa kuwa ana umbo dogo na ni mfupi.

Dogo ni baller.
Dogo ni ball dancer.
Wanaojua Mpira watakubaliana na mimi.
ni mvivu sana na hana malengo ya kufika mbali
 
Dabi mtoto wa Morogoro wlikuwa pamoja na Kapombe Moro kids. Jamaa anajua nilimuonaga akiwa bado Moro kids walikuwa wanacheza katikati ya Dimba na mwenziye Kiteregu. Sijui dogo kiteregu kaishia wapi.
Katulia Sana Yule jamaa ....napenda Sana aina yake ya midfielder. Sio midfielder Una papara weee ....
 
Tanzania tuna vijana wazuri wanaojua Mpira ila tu hatuwazingatii kwakuwa wanacheza timu za daraja la kati.

Kuna huyu dogo kiungo wa coastal union wa chini Saimoni Likomb ni anajua ball kweli kweli ila watanzania mpaka mtu acheze Simba na yanga ndio anazingatiwa na kuitwa timu ya taifa.

Huyu dogo alishapita Yanga B na kutumkia Gwambina na sasa coastal union.

Ni mchezaji haswa sema tu haimbwi kwakuwa watu wengi hawajui Mpira na wao wanaangalia mechi baadhi tu.

Sema tu dogo umbo lake linamponza kwa kuwa ana umbo dogo na ni mfupi.

Dogo ni baller.
Dogo ni ball dancer.
Wanaojua Mpira watakubaliana na mimi.
Ana kitu, atafika mbali
 
Fact, Yule jamaa Yuko vizuri Sana..
 
Back
Top Bottom