Guterres: Israel kushambulia vikosi vya UN ni uhalifu wa kivita

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Guterres asema shambulizi la jeshi la Israel dhidi ya kikosi cha muda cha UM nchini Lebanon linaweza kuwa uhalifu wa vita.

Msemaji wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres tarehe 13 Oktoba alitoa taarifa kuhusu kikosi cha muda cha UM nchini Lebanon, akiweka bayana msimamo kuwa watu na kambi ya kikosi cha muda cha UM nchini Lebanon hawapaswi kuwa shabaha ya mashambulizi, mashambulizi dhidi ya walinzi wa amani yanakiuka sheria ya kimataifa na sheria ya kibinadamu ya kimataifa, kitendo ambacho huenda kitakuwa uhalifu wa vita.

Bw. Guterres amesisitiza tena kuwa ni lazima kuhakikisha usalama wa wafanyakazi na mali za Umoja wa Mataifa, na ni lazima kuheshimu wakati wote bila masharti kanuni ya kutoshambuliwa kwa kambi za UM.

1728975696466.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Guterres asema shambulizi la jeshi la Israel dhidi ya kikosi cha muda cha UM nchini Lebanon linaweza kuwa uhalifu wa vita

Msemaji wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres tarehe 13 Oktoba alitoa taarifa kuhusu kikosi cha muda cha UM nchini Lebanon, akiweka bayana msimamo kuwa watu na kambi ya kikosi cha muda cha UM nchini Lebanon hawapaswi kuwa shabaha ya mashambulizi, mashambulizi dhidi ya walinzi wa amani yanakiuka sheria ya kimataifa na sheria ya kibinadamu ya kimataifa, kitendo ambacho huenda kitakuwa uhalifu wa vita.

Bw. Guterres amesisitiza tena kuwa ni lazima kuhakikisha usalama wa wafanyakazi na mali za Umoja wa Mataifa, na ni lazima kuheshimu wakati wote bila masharti kanuni ya kutoshambuliwa kwa kambi za UM.View attachment 3125495

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Na sisi si tuna wanajeshi wetu kule?
 
Guterres asema shambulizi la jeshi la Israel dhidi ya kikosi cha muda cha UM nchini Lebanon linaweza kuwa uhalifu wa vita.

Msemaji wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres tarehe 13 Oktoba alitoa taarifa kuhusu kikosi cha muda cha UM nchini Lebanon, akiweka bayana msimamo kuwa watu na kambi ya kikosi cha muda cha UM nchini Lebanon hawapaswi kuwa shabaha ya mashambulizi, mashambulizi dhidi ya walinzi wa amani yanakiuka sheria ya kimataifa na sheria ya kibinadamu ya kimataifa, kitendo ambacho huenda kitakuwa uhalifu wa vita.

Bw. Guterres amesisitiza tena kuwa ni lazima kuhakikisha usalama wa wafanyakazi na mali za Umoja wa Mataifa, na ni lazima kuheshimu wakati wote bila masharti kanuni ya kutoshambuliwa kwa kambi za UM.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Huyu Mzee kashaonyesha unafiki
Aachie tu hiyo nafasi aachie MTU ambaye Yuko Neutral
 
Attachments

  • 5851593-7378837c7eb1620f326a5dfe710427c.mp4
    12.8 MB
Guterres asema shambulizi la jeshi la Israel dhidi ya kikosi cha muda cha UM nchini Lebanon linaweza kuwa uhalifu wa vita.

Msemaji wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres tarehe 13 Oktoba alitoa taarifa kuhusu kikosi cha muda cha UM nchini Lebanon, akiweka bayana msimamo kuwa watu na kambi ya kikosi cha muda cha UM nchini Lebanon hawapaswi kuwa shabaha ya mashambulizi, mashambulizi dhidi ya walinzi wa amani yanakiuka sheria ya kimataifa na sheria ya kibinadamu ya kimataifa, kitendo ambacho huenda kitakuwa uhalifu wa vita.

Bw. Guterres amesisitiza tena kuwa ni lazima kuhakikisha usalama wa wafanyakazi na mali za Umoja wa Mataifa, na ni lazima kuheshimu wakati wote bila masharti kanuni ya kutoshambuliwa kwa kambi za UM.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Huyu Gutteress kama anawakingia kifua magaidi alitakiwa ajiuzulu hiyo nafasi
 
Wana haki ya kujilinda
 
Israel ni wanajeshi waoga!

Kwanza wao ndiyo wanaokimbilia upande wa majeshi wa kulinda amani UN pindi wanapozidiwa mashambulizi.
Akili zao wakianzisha ugomvi na nchi flani au militia akijitokeza kiongozi hata kuwaambia kuhusu uhalifu wao kivita wanafura na kukasirika, wakiendelea hivi watagombana na kila mtu.

Kama hio video huyo askari anaonyeaha mahandaki eti kuonyesha Hezbollah wanajificha karibu na jengo la UN, sasa nchi ni ya Hezbollah, kwani Hezbollah kuwa na bunker nchini mwao ni shida? Na isitoshe sio kwamba hayo mahandaki yapo ndani ya UN, yapo karibu mita zaidi ya 20...

Wenyewe wafanye ground OP, sio kuwapiga askari wa UN.
 
Ground operation ilishawashinda na mpaka leo hawaeleweki wapo wapi na wame achieve nini!

Sina hakika kama kweli Israel wanajeshi wao wanapitia training kama majeshi mengine. Udhaifu wa jeshi lao ni mkubwa sana!

Leo Netanyahu katoa ujumbe wa kukanusha kuwa waliwashambulia vikosi vya umoja wa mataifa wakati tangu juzi waliwashambulia na kuwapiga risasi wanajeshi wawili wa vikosi hivyo!

Netanyahu ana matatizo ya akili! Na mataifa ya wamagharibi waliwalea sana! Ngoja waone toto lao tundu lilipofikia, na wakiendelea kulidekeza litawaingiza kwenye hasara kubwa!

View: https://x.com/ShaykhSulaiman/status/1845948341135266072?t=ZMbxbe1nScWLI3FNJtMq9w&s=19
 
Wameanza kumkataa taratibu.

Kama hadi viongozi wakubwa kama hao wanajitokeza kulaani ujue wapo viongozi wengi ambao hawapendi anachofanya Netanyahu lakini wamekaa kimya kuepuka kutoonekana wabaya mbele ya US n.k..
 
Back
Top Bottom