Guterres: Israel kushambulia vikosi vya UN ni uhalifu wa kivita

Kama hezbollah wanajificha nyuma ya vikosi vya UN ni kuwatwanga wote
Mkuu tuliza mpira., Israel kwenye vita hii ni kweli wameonyesha udhaifu mkubwa sana, tuliaminishwa Israel wana jeshi bora, silaha bora za kisasa lakini ni wataalamu wa shabaha na yoote haya tuliaminishwa kwa mdomo tu, sasa kwenye uwanja wa vita ni tofauti sana.
1. Vita ilipoanza tu siku ya kwanza hatukuona ubora wao ilibidi meli ya silaha itoke US kwenda Israel kuwa support hawakuwa na uwezo ata kwa wiki 1 kupambana na Hamas jeshi ambalo nalo hawakuwa na silaha za maana.
2. Ilisemekana Israel wana mfumo bora wa ulinzi wa anga Iron Dom lakini uliona namna makombora ya Iran yalivyoenda kupiga sehemu husika bila kizuizi.
3. Drone za hizbullah juzi pia zilienda kuwachakaza mitambo yao ata haikuamka kama kuna drone zinakuja kuwauwa na wanajeshi wakapukutika sihaba.
4. Israel walisema wakishambuliwa na Iran ni hapo hapo watajibu maana haimuogopi yeyote na wanauwezo kufikia popote Mashariki ya kati lakini hadi leo kuna sintofahamu wapige wapi walipize nini huu nao ni udhaifu.

Kwa msingi huo yawezekana sana Israel wanalenga tu makombora yao lakini hawajuwi wanalenga wapi na watampata nani na wakati gani, alivyosema huyu Katibu wa UN kwamba ni udhaifu wa kivita ni hakika kabisa, na Iran akiamua kuingia uwanja wa vita huyu jamaa ni dakika 10 tu itabaki historia nchi iitwayo Israel
 
Guterres asema shambulizi la jeshi la Israel dhidi ya kikosi cha muda cha UM nchini Lebanon linaweza kuwa uhalifu wa vita.

Msemaji wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres tarehe 13 Oktoba alitoa taarifa kuhusu kikosi cha muda cha UM nchini Lebanon, akiweka bayana msimamo kuwa watu na kambi ya kikosi cha muda cha UM nchini Lebanon hawapaswi kuwa shabaha ya mashambulizi, mashambulizi dhidi ya walinzi wa amani yanakiuka sheria ya kimataifa na sheria ya kibinadamu ya kimataifa, kitendo ambacho huenda kitakuwa uhalifu wa vita.

Bw. Guterres amesisitiza tena kuwa ni lazima kuhakikisha usalama wa wafanyakazi na mali za Umoja wa Mataifa, na ni lazima kuheshimu wakati wote bila masharti kanuni ya kutoshambuliwa kwa kambi za UM.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Well said, Israel ni debe tupu kila siku wanauwa watu kwenye makambi eti wanakusudia kuuwa Hamas waliojificha ukitaza maiti ni watoto wachanga na wanawake wasio na hatia, hawa ni wadhaifu kupitiliza
 
Mkuu tuliza mpira., Israel kwenye vita hii ni kweli wameonyesha udhaifu mkubwa sana, tuliaminishwa Israel wana jeshi bora, silaha bora za kisasa lakini ni wataalamu wa shabaha na yoote haya tuliaminishwa kwa mdomo tu, sasa kwenye uwanja wa vita ni tofauti sana.
1. Vita ilipoanza tu siku ya kwanza hatukuona ubora wao ilibidi meli ya silaha itoke US kwenda Israel kuwa support hawakuwa na uwezo ata kwa wiki 1 kupambana na Hamas jeshi ambalo nalo hawakuwa na silaha za maana.
2. Ilisemekana Israel wana mfumo bora wa ulinzi wa anga Iron Dom lakini uliona namna makombora ya Iran yalivyoenda kupiga sehemu husika bila kizuizi.
3. Drone za hizbullah juzi pia zilienda kuwachakaza mitambo yao ata haikuamka kama kuna drone zinakuja kuwauwa na wanajeshi wakapukutika sihaba.
4. Israel walisema wakishambuliwa na Iran ni hapo hapo watajibu maana haimuogopi yeyote na wanauwezo kufikia popote Mashariki ya kati lakini hadi leo kuna sintofahamu wapige wapi walipize nini huu nao ni udhaifu.

Kwa msingi huo yawezekana sana Israel wanalenga tu makombora yao lakini hawajuwi wanalenga wapi na watampata nani na wakati gani, alivyosema huyu Katibu wa UN kwamba ni udhaifu wa kivita ni hakika kabisa, na Iran akiamua kuingia uwanja wa vita huyu jamaa ni dakika 10 tu itabaki historia nchi iitwayo Israel
Hoja yako imelalia kwenye "tuliaminishwa"!Na nani?Uhalisia wa battle ground umeuona?Ulihitaji wafanyeje kwa adui anayekaa amewakumbatia akina mama na watoto ambao walitahadharishwa awali waond9ke eneo hilo la hatari?Au unadhani wapo kwenye video games za ToD?
 
Awa Kenge watauwa watu wetu afu wawasingizie hezbollah wanadhani wote tunaamini wao taifa teule. Wakusema ndio kweli awana baya awajambi taifa teule.!!
 
Consequence yake unaijua ....au unatumia kamasi kufikiria

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Consequence yake UN ife tu,,,,wajulikane wa BRICS wanakaa wapi na wengine wanaenda wapi,,,,,mbona haitakua mara ya kwanza ,Mungu ajibu maombi yetu,,,,,bwana Netanyahu fumua hadi hivyo vikosi vya UN
 
Hoja yako imelalia kwenye "tuliaminishwa"!Na nani?Uhalisia wa battle ground umeuona?Ulihitaji wafanyeje kwa adui anayekaa amewakumbatia akina mama na watoto ambao walitahadharishwa awali waond9ke eneo hilo la hatari?Au unadhani wapo kwenye video games za ToD?
Hakuna maiti hata moja hadi sasa ambayo imekuwa approved ni mwili wa askari wa hamas au hizbollah, narudia kusema kama alivyosema katibu UN ni udhaifu mkubwa kwa jeshi la Israel na netanyahu, hata huko ICC ambako kesi za mauaji zinaendeshwa Israel hawakutoa ushahidi wowote kwamba waliowaua ni maadui zao hamas, ww unakuja tu hapa na kuandika hufuatilii chochote wala kujifunza chochote.
 
Kama hezbollah wanajificha nyuma ya vikosi vya UN ni kuwatwanga wote
Uwe una stara ya akili usidhihirishe UJINGA WAKO.
Wewe una ushahidi wa unachoongea!?
Unajua kuna vikosi vya mataifa mangapi vya UNIFIL hadi udai Hizbollah wanajificha nyuma yao!?
Aisee we jamaa kumbe ni punga kiasi hichi!??
 
Huyu Mzee kashaonyesha unafiki
Aachie tu hiyo nafasi aachie MTU ambaye Yuko Neutral
Kwa ujinga wako na wewe unaamini hayo mahandaki ya Hibzollah!?
Unajua hizbollah wanashambulia kutokea wapi!?
Mbona hakuna connection yeyote na madai ya Israel!?
Kondoo wa mayai kweli wewe.
 
Back
Top Bottom