Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha bange hasa mchana kwa jua kali.Hoja yako imelalia kwenye "tuliaminishwa"!Na nani?Uhalisia wa battle ground umeuona?Ulihitaji wafanyeje kwa adui anayekaa amewakumbatia akina mama na watoto ambao walitahadharishwa awali waond9ke eneo hilo la hatari?Au unadhani wapo kwenye video games za ToD?
WapoNa sisi si tuna wanajeshi wetu kule?
Acha bange hasa mchana kwa jua kali.
Madai ya kujificha nyuma ya raia aliambiwa athibitishe kashindwa.
1)Aliua French Embassy Official,je Hamas walijificha mule!?
2)Aliua wanawake wanne wakiwa kanisani tena kwa sniper ambayo unapima range na kufyatua risasi,je sniper nae aliona Hamas nyuma ya wanawake wanne aliowadungua mmoja mmoja!?
3)Waliwafyatulia risasi kifuani raia wao wenyewe waliokua wakiomba msaada na kuonesha ishara ya kujisalimisha.Je nyuma yao walikua Hamas?
Acha upuuzi mkuu kutetea ufala wa hawa jamaa.
Hawa jamaa wanakosea sana ni kama wamepoteza dira.
Viarabu uchwara vilivyo viongo haviwezi kukubali.Big Nose Pause!Hakuna maiti hata moja hadi sasa ambayo imekuwa approved ni mwili wa askari wa hamas au hizbollah, narudia kusema kama alivyosema katibu UN ni udhaifu mkubwa kwa jeshi la Israel na netanyahu, hata huko ICC ambako kesi za mauaji zinaendeshwa Israel hawakutoa ushahidi wowote kwamba waliowaua ni maadui zao hamas, ww unakuja tu hapa na kuandika hufuatilii chochote wala kujifunza chochote.
Huwa hupanui fikra mkuu.Viarabu uchwara vilivyo viongo haviwezi kukubali.Big Nose Pause!
Huyu amesahau kuwa hesbora kurusha makombora ya kuishambulia israel pembeni yake kuna walinda amani wa UN ni uharifu pia,Guterres asema shambulizi la jeshi la Israel dhidi ya kikosi cha muda cha UM nchini Lebanon linaweza kuwa uhalifu wa vita.
Msemaji wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres tarehe 13 Oktoba alitoa taarifa kuhusu kikosi cha muda cha UM nchini Lebanon, akiweka bayana msimamo kuwa watu na kambi ya kikosi cha muda cha UM nchini Lebanon hawapaswi kuwa shabaha ya mashambulizi, mashambulizi dhidi ya walinzi wa amani yanakiuka sheria ya kimataifa na sheria ya kibinadamu ya kimataifa, kitendo ambacho huenda kitakuwa uhalifu wa vita.
Bw. Guterres amesisitiza tena kuwa ni lazima kuhakikisha usalama wa wafanyakazi na mali za Umoja wa Mataifa, na ni lazima kuheshimu wakati wote bila masharti kanuni ya kutoshambuliwa kwa kambi za UM.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sasa unabisha na kutetea nini hii dini ya mwarabu imekushika akiliUwe una stara ya akili usidhihirishe UJINGA WAKO.
Wewe una ushahidi wa unachoongea!?
Unajua kuna vikosi vya mataifa mangapi vya UNIFIL hadi udai Hizbollah wanajificha nyuma yao!?
Aisee we jamaa kumbe ni punga kiasi hichi!??
Tatizo akili huna.Sasa unabisha na kutetea nini hii dini ya mwarabu imekushika akili
Kwanza UN wanafaida gani hapo lebanon wameshindwa kuwazuia hezbollah wasirushe maroketi israelKumbuka katika vikosi vya UN kuna wanajeshi 150 kutoka Tanzania
Ndio stori ulizodanganywa madrasaTatizo akili huna.
Kuwa reasonable kijana.
UNIFIL sio ya waarabu wapo hadi wazungu ambao wanaiunga mkono hiyo Israel.
HAta shetani nae ana wafuasi wake ,gutierez ni mkristo na anjua nini kinachoendelea kule lebnon kuliko wewe ambae unashabikia vitu usivyovijuaKama hezbollah wanajificha nyuma ya vikosi vya UN ni kuwatwanga wote
Nikikuita we fala nakukosea bro!?Ndio stori ulizodanganywa madrasa
Hili jamaa punga na bwabwa kabisa.HAta shetani nae ana wafuasi wake ,gutierez ni mkristo na anjua nini kinachoendelea kule lebnon kuliko wewe ambae unashabikia vitu usivyovijua
Huyu naye hizi hela za Qatar zimempumbuza kabisa ila ipo siku zitamtokea puani. Amuulize aliyekuwa Rais wa FIFA kilichomtokea.Guterres asema shambulizi la jeshi la Israel dhidi ya kikosi cha muda cha UM nchini Lebanon linaweza kuwa uhalifu wa vita.
Msemaji wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres tarehe 13 Oktoba alitoa taarifa kuhusu kikosi cha muda cha UM nchini Lebanon, akiweka bayana msimamo kuwa watu na kambi ya kikosi cha muda cha UM nchini Lebanon hawapaswi kuwa shabaha ya mashambulizi, mashambulizi dhidi ya walinzi wa amani yanakiuka sheria ya kimataifa na sheria ya kibinadamu ya kimataifa, kitendo ambacho huenda kitakuwa uhalifu wa vita.
Bw. Guterres amesisitiza tena kuwa ni lazima kuhakikisha usalama wa wafanyakazi na mali za Umoja wa Mataifa, na ni lazima kuheshimu wakati wote bila masharti kanuni ya kutoshambuliwa kwa kambi za UM.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app