Gutteres UN: Ni muhimu pia kutambua mashambulizi ya Hamas hayakutokea bila sababu

Gutteres UN: Ni muhimu pia kutambua mashambulizi ya Hamas hayakutokea bila sababu

Baada ya shambulio hili la Hamas UN wasimamie kupatikana taifa la Palestina kwa kukumbusha maazimio yote yaliyofikiwa juu ya suala hilo. Hakuna tena hadithi na danganya toto ya Israel.

Wasipofanya hivyo Hamas au wengine watavizia kufanya kama hivyo miaka ijayo na wasijelaumiwa tena.
kwann mwaka 1948 hamkupambana kuunda taifa lenu wkt mlipewa eneo lenu ? badala yake mkaona muwekez kweny kupigana na waisrael , ss leo mnataka tuwasaidie nn
 
Gutteres alisema: "Ni muhimu pia kutambua mashambulizi ya Hamas hayakutokea bila sababu. Watu wa Palestina wamekuwa wakikaliwa kwa mabavu si chini ya miaka 56."

Lakini malalamiko ya watu wa Palestina hayawezi kuhalalisha mashambulizi ya kutisha ya Hamas. Na mashambulizi hayo ya kutisha hayawezi kuhalalisha adhabu ya pamoja ya watu wa Palestina,” alisema. Waisrael hawataki kuambiwa ukweli wanataka Guterres ajiuzulu.
Raia wanyonge wa Palestine ndio wanalipia gharama kubwa za huu mzozo.

Mungu awakumbuke...
 
yote yanayowakuta wapalestina ni matokeo ya ujinga wao , kwann walishindwa kuunda nchi mwaka 1948 badala yake wakawekeza nguvu kuwatumikia waarabu kulifuta taifa la israel , wenzao wamepambana kuunda serikali yao leo tuna ona matokeo
Mkuu hapa unaingia katika mtego wa kumlaumu muhanga (blaming the victim).

Nyerere alivyoenda UN kudai Watanganyika kujitawala, angekataliwa, halafu Wayahudi wangeletwa Tanganyika na kupewa nchi, baadaye huu mgogoro wa Wapalestina na Wayahudi ungekuwa wa Watanganyika na Wayahudi, ungewalaumu Watanganyika kwa sababu walishindwa kuunda nchi yao?

Unaelewa nchi inavyoundwa na power structure ilivyokuwa against Wapalestina au unawalaumu tu?
 
Nilichogundua nikwamba UN hufuata upepo wa US,Gutteres amesema hayo lakn gafla ameanza kupinga kauli yake.
 
Wewe Mfaidhina wa Palestina, nenda kainue kalio juu umuombe ala awasaidie Palestine kuepukana na kichapo.
Mimba changa huwa ni changamoto sana kwa kina mama wenye umri zaidi ya miaka 50.
Sasa usilete jazba zako kwenye mijadala ya watu wazima. Utaharibu na hio mimba bila kujua.
Nakushauri tu.
 
kwahiyo anaona ni sawa kushambulia raia wema kama njia ya kuelezea ulimwengu matatizo yako? huyu hapaswi kuwepo kundin , ni gaidi pia
Hivi una akili kweli mbona kaelezea vizuri, kabisa?
Kasema h madai ya wapalestina hayawezi kuhalalisha kilicho fanywa na Hamas, lakini pia mauaji ya hamas hayawezi kuhalalisha mauaji ya raia yanayo fanywa na Israel, yaani hakuna kitu chochote kinacho weza kuhalalisha mauaji ya raia iwe kwa hamas au kwa Israel.

nyie warokole saa nyingine muwe na akili.
 
Hiyo UN haina Ubavu wa kuwasaidia Hamas. Wanaendelea kutandikwa, wamebaki kulialia kwa UN.

UN nayo inabaki kubwabwaja. Wakubwa wanaoipa nguvu UN wapo upande wa Israel.

HAMAS watakiona.
HAMAS hawajawahi kuomba msaada Kwa UN,na katika vita hiya Israel anapata msaada kutoka Kwa USA na UE Countries nyingi ila HAMAS haijawahi kushindwa kuendelea na operations zake,kama IDF imekuwa unafanya illegal occupation of Land ya wapelestine Kwa muda wote huo Kwa kutumia mtutu wa bunduki Kuna kosa Gani HAMAS wakitumia armed struggle kutetea Haki Yao?
 
yote yanayowakuta wapalestina ni matokeo ya ujinga wao , kwann walishindwa kuunda nchi mwaka 1948 badala yake wakawekeza nguvu kuwatumikia waarabu kulifuta taifa la israel , wenzao wamepambana kuunda serikali yao leo tuna ona matokeo

Shida wagalatia wengi nchi hii kila mnachoambiwa na mwamposa mnaona ndiyo ukweli, hiyo 1948 Palestine ilikuwa inakaliwa na uingereza kama koloni lao,wangeweza vipi fanya hicho unachokisema?
 
Back
Top Bottom