kwann mwaka 1948 hamkupambana kuunda taifa lenu wkt mlipewa eneo lenu ? badala yake mkaona muwekez kweny kupigana na waisrael , ss leo mnataka tuwasaidie nnBaada ya shambulio hili la Hamas UN wasimamie kupatikana taifa la Palestina kwa kukumbusha maazimio yote yaliyofikiwa juu ya suala hilo. Hakuna tena hadithi na danganya toto ya Israel.
Wasipofanya hivyo Hamas au wengine watavizia kufanya kama hivyo miaka ijayo na wasijelaumiwa tena.
Raia wanyonge wa Palestine ndio wanalipia gharama kubwa za huu mzozo.Gutteres alisema: "Ni muhimu pia kutambua mashambulizi ya Hamas hayakutokea bila sababu. Watu wa Palestina wamekuwa wakikaliwa kwa mabavu si chini ya miaka 56."
Lakini malalamiko ya watu wa Palestina hayawezi kuhalalisha mashambulizi ya kutisha ya Hamas. Na mashambulizi hayo ya kutisha hayawezi kuhalalisha adhabu ya pamoja ya watu wa Palestina,” alisema. Waisrael hawataki kuambiwa ukweli wanataka Guterres ajiuzulu.
Mkuu hapa unaingia katika mtego wa kumlaumu muhanga (blaming the victim).yote yanayowakuta wapalestina ni matokeo ya ujinga wao , kwann walishindwa kuunda nchi mwaka 1948 badala yake wakawekeza nguvu kuwatumikia waarabu kulifuta taifa la israel , wenzao wamepambana kuunda serikali yao leo tuna ona matokeo
Jeshi letu nila sita dunianiwana ubavu wa kusogeza pua huko?
Mimba changa huwa ni changamoto sana kwa kina mama wenye umri zaidi ya miaka 50.Wewe Mfaidhina wa Palestina, nenda kainue kalio juu umuombe ala awasaidie Palestine kuepukana na kichapo.
Hivi una akili kweli mbona kaelezea vizuri, kabisa?kwahiyo anaona ni sawa kushambulia raia wema kama njia ya kuelezea ulimwengu matatizo yako? huyu hapaswi kuwepo kundin , ni gaidi pia
Myahudi hachagui hata wakristo wamepata kichapo. Wewe unampenda Myahudi wakati wewe mkristo anakuona ni mtu usiye na akili unaabudu midoli. HahahWewe Mfaidhina wa Palestina, nenda kainue kalio juu umuombe ala awasaidie Palestine kuepukana na kichapo.
HAMAS hawajawahi kuomba msaada Kwa UN,na katika vita hiya Israel anapata msaada kutoka Kwa USA na UE Countries nyingi ila HAMAS haijawahi kushindwa kuendelea na operations zake,kama IDF imekuwa unafanya illegal occupation of Land ya wapelestine Kwa muda wote huo Kwa kutumia mtutu wa bunduki Kuna kosa Gani HAMAS wakitumia armed struggle kutetea Haki Yao?Hiyo UN haina Ubavu wa kuwasaidia Hamas. Wanaendelea kutandikwa, wamebaki kulialia kwa UN.
UN nayo inabaki kubwabwaja. Wakubwa wanaoipa nguvu UN wapo upande wa Israel.
HAMAS watakiona.
yote yanayowakuta wapalestina ni matokeo ya ujinga wao , kwann walishindwa kuunda nchi mwaka 1948 badala yake wakawekeza nguvu kuwatumikia waarabu kulifuta taifa la israel , wenzao wamepambana kuunda serikali yao leo tuna ona matokeo