Nyamwage
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 712
- 1,748
Nilijua computer shoga yake ni monitor mwanzo nilikua na tumia TV kama monitor nikawa nahisi siitendei haki hii mashine inabidi niitafutie chakula yake ili viwe sawa leo nimepata muda nikaenda kununua monitor ya nch 20 nafika home nimeconnect ili nione je ni kweli monitor ina picha kali kuliko tv lakini naona kama hii pesa nimeitupa