Guys hapa Arusha kuna vyuma sio poa

Fala wee 😹😹
Hakuna mkinga anayegawa hovyo hovyo Mxieeeeww 🀣
Una kifua nikupe na ushahidi?
Mimi nna nyota na wa ukanda huo sana sijui ni kwa sababu ya urefu. Sijawahi kuwa karibu na ke wa kanda hiyo alafu asinipende, kuna mwingine nampiga chenga nae wa huko anataka tukonect device sucessfully nae ana kishundu amaizing ila sijui kitakuwa kigumu pia 🀣
 
Kwendraa zako hakuna mkinga mwenye vitraco vigumu, sema umeamua kupondea tu..!! 😹😹😹

Kwanza mkinga unamkutia wapi mpk akupe chiu?
Jirani sina vita na kabila lolote lile ila huyo ni mkinga.

Wapo wengi tu kazuri sana ila nyash ngumu kuliko maisha yangu πŸ˜‚
 
Labda dar ya vilabu vya pombe za kienyeji ila sehemu classic lazima utakuta pisi za chuga moshi manyara singida ndo zinakimbiza
Kina sepenga si ndo pisi classic zinazotokea singidani..!! Ndo warangi hao.
We unajua warangi wa wapi?

Mahi ita boda ushaanza kutoka nje ya lane
 
Lete hapa mambo kwa ushahidi 😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…